Kwakwel serikal ya kbongo n ya maslah bnafs na wala s kwa wananch jambo hl lmeanza kuzungumziwa ktambo sn ila hakuna ufumbuz raia wamechoka nahs nch inakoelekea kuwa km kenya hil ltatokea 2 km leo hv wa2 wanakufa
Hahahahahahaha mnanichekesha sana jamaa zangu maana mnakoelekea kubaya sana maana bora ucheze na mwanadamu mwenzio ila ALLAH (s.w) hana masihara kweli ameamrsha kisas pnd unapotendewa ubaya km kuulwa kwa ndg zko hasa waislamu bla kosa bas nAwe tekeleza km vle walvyotekeleza wenzio so alkisas...
Kuulwa kwa viongoz wa kdn tatzo n vp raia wa kawida wanapouliwa na kunyanyaswa ndan ya nalo tatzo serikal Inahtajka kufanya uamuzi ulio sahh kukomesha na kurekebsha hal ilyoko
Wewe acha kurud nyuma unajua ksa cha Mtume (s.a.w) kuamrishwa kupigana vita vya badr n kuondoa dhurma ya makafir hvyo waislamu wamevumilia baada ya kupata uhuru mpaka Leo wameshndwa na Inshaallah ktaeleweka mwaka huu
Hahahahaha sasa naanza kukuelewa kijana elimika maana hakuna dn ya aman na upendo dunian km si uislam 2 na wote wanajua sema choko choko za wanadamu wasioupenda uislam ila hamtaweza kuuangusha uislam kamwe
Sasa wakishaulwa uliwa wewe utakuwa umepata nn na kp utafaidka unamuombea mwanadamu mwenzio auwawe bas utaanza wewe na kuwaacha waislamu wakiendelea kuish kama kawaida
Daaaaaa huku 2nakoelekea kubaya Jamaniiiiii maana din ya Kwel n uislam dunia nzma inaltambua hlo ndo maana haipendw ila Inshaallah itaendelea kamwe mtaikubar hamjiulz kwann papa amejhudhuru
Inshaallah Muslim watashinda 2 ktaeleweka mwaka huu ila jamaan 2siongee kwa ushabki na udin hapa namna ya dhamana kutotolewa si inajulkana makosa ambayo hayana dhamana s yanajulkana je shekhe ponda yumo kwenye makosa hayo???????
Ache ushabiki kama m2 ananyimwa haki yake afanye nn nguvu ya kupigana hana bora aandamane 2 kwake bora ila kwakuwa hayajawakuta endeleen kuongea ila Inshaallah ktaeleweka 2 mwaka huu nchi ya kwe2 sote si wengne waneemeke wengne wadhurumiwe takbiriiiii I love Muslim
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.