Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

Status
Not open for further replies.
hivi waislam sheria hawazifahamu mpaka watumie njia za mkato.?
 
Askari Polisi na FFU wametanda Eneo lote la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es salaam. Ili kukabiliana na fujo zozote zile za waislam, ambao ni wafuasi wa Ponda.
 
utanganisha wangapi ndugu ? Dra yote utaiweza ?

Hapo busar tu ndo inahitajika nayo ni kuwachia Al-shabaab wao
 
Tupeni update basi wamefikia wapi na kutoka wapi. Isije ikawa ni kundi la waliotoka msikitini kurejea makwao.
.
 
Hv hawa wajomba awanaga kazi za kufanya nini na ponda ndo mdudu gani! Ninatafuta wafanyakazi wasiopungua 2000 kwa ajili ya mifugo yangu huku kibaha kwaiyo nawaitaji hao raia wa ponda
 
it just mean 'Please delete your statement because you can not put an end under the peace in the country" from goggle translate
 
Picha jamani ni muhimu sana hapa,poleni mlioko huko na ambao hamko kwenye hayo maandamano.
 
Hilo si suala la dini.

Ni suala la Ponda kupewa dhamana.Wampe dhamana halafu waone kama kuna mtu ataandamana.Kwani Mandela alpokuwa gerezani na watu walioandamna ili atolewe walikuwa Al-shabaab ? au Waislamu ?
 
Ngoja niwahi hapo kkoo nikaone kama wanapigwa kama wale CDM au huku wanaongozwa kama wakati uleeeeeeeeeeeeeee wa mambo yaleeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom