Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

Status
Not open for further replies.
hapo mpka kieleweke kwa nin serikali isimwachie huyo shkh wao PONDA ili kuepusha hzi fujo zsizo na tija kwa taifa?
 
Watu wengine bwana kusikia kwao hadi waone mabomu .Polisi chalaza fimbo hao, kamateni wote na muwaweke sero hadi jumatatu watakuwa wamejitambau kwani wamezidi .
na wakifika sero nao wanyimwe dhamana
 
Ache ushabiki kama m2 ananyimwa haki yake afanye nn nguvu ya kupigana hana bora aandamane 2 kwake bora ila kwakuwa hayajawakuta endeleen kuongea ila Inshaallah ktaeleweka 2 mwaka huu nchi ya kwe2 sote si wengne waneemeke wengne wadhurumiwe takbiriiiii I love Muslim
 
huu ni ujinga kuwafanya watu washindwea kufanya shughuli zao sababu ya shekhe Ponda kwani Ponda ni nani ndani ya nchi hii.?
 
Tulieni waliyataka wenyewe,vijana waliandaliwa tangu juzi kwaajili ya zoezi hili walinitonya kuwa waliandaliwa msosi saa tano asubuhi leo kwa ajili ya kukabiliana vilivyo hapo walipo wamejaza sembe jumlisha gwaride la alfajiri c mchezo, hata hivyo waswas wangu ni vile vitu vyenye ncha kali na vizito vitawaangukia hii ni kwa sababu tu watakuwa wanakimbia hivyo ni nadra kukosekana matukio ya vitu hivyo ktk mazingira kama hayo, hebu tusali kwamba visiwaangukie wengi.
 
Nchi hii bila maandamano haiwezekani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi binafsi nnafanya biashara kariakoo tumeshafunga maduka kila mmoja anatafuta ustaarabu wake wa kwenda nyumbani.Hal hii ya fujo za kila mara ikiachwa ikaendelea itadidimiza uchumi wetu pia ukizingatia kariakoo ndio kitovu kikubwa cha biashara nchini.Fujo hazijengi zinabomoa,na fujo hizi ni kati ya waislam wanaotaka kuachiwa kwa shekhPonda.

sawa, sasa unashauri nini kifanyike
 
Hali sio nzuri maduka mengi ya wafanyabiashara yamefungwa na kwa sasa ni mabomu ya machozi yanalipuliwa.

Polisi imepambana na watu wanaodaiwa ni waumini wa Kiislam walioandamana maeneo ya Kariakoo kudai dhamana ya Sheikh Issa Ponda
mkuu unaposema "polisi imepambana" ina maana maandamano yameisha.?
 
Hilo si suala la dini.

Ni suala la Ponda kupewa dhamana.Wampe dhamana halafu waone kama kuna mtu ataandamana.Kwani Mandela alpokuwa gerezani na watu walioandamna ili atolewe walikuwa Al-shabaab ? au Waislamu ?
mbona waandamanaji ni wa dini moja? Kuna asiye muislamu kwenye hayo maandamano? Ni udini tu hapo...
 
Ingekuwa ni wakristo wangesema wametumwa na chadema waislamu wao kwakuwa ni ccm wanachoma makanisa wanachinja mchungaji hamna shida. utasikia walio usika watachukuliwa hatua kali.kiburi wanapata zaidi kwa kuwa RAISI wa nchi Jakaya M Kikwete.Mkuwa wa polisi IGP Saidi Mwema MKUU WA POLISI kanda DSM Kova na Mkuu wa upelelezi kanda ya Dsm Ahamed Msangi ni waislamu wanaona nchi niya kwao.
 
149938_343904472376315_678135986_n.jpg
 
Hakuna maana mwanaume wa kupambana na kina Marwa, labda uniambie kuna wahuni wanaiba bidhaa za watu na polisi wanawakimbiza, hapo nitaelewa
basi jua hao wahuni ndio wengi wanaomiliki biashara hapo kariakoo, kwa hiyo hakuna shida watakuwa wanajiibia wenyewe wewe wala isikuume
 
nipo maeneo ya kariakoo muda huu, polisi weshaanza kulipua mabomu, kuzuia waislamu wanaotaka kuandamana kushinikiza kuachiwa kwa dhamana sheikh ponda. Kwa hiyo tahadhari kwa watu mnaokuja maeneo ya kariakoo muda huu, muwe waangilifu, maana hali si shwari saana!!
sasa mbona maandamano yako kariakoo na wakati ilikuwa yatoke misikiti yote kuelekea posta kwa dpp! Maandamano yanaipenda kariakoo aiseee! Kariakoo kunani hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom