Recent content by FADHILI KADEDE

  1. F

    Upanuzi wa njia kuu Tanzania bara..!

    Usicheze na viongozi wetu bwana!wanataka baada miaka —kumi wazue mradi mwingine 10% inaingia kama unabisha angalia bunge la katiba wanataka serikali 2 waendelee na mchezo wao!
  2. F

    UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

    Wana jamii naomba mnipe maana ya memorundum of understands kati ya kanisa na serikali
  3. F

    Dawasco mnatuuwa

    hata hizo 500000 situngegawiwa ? Kama hakuna kabisa tutaishi vipi ?
  4. F

    Dawasco mnatuuwa

    Yapata wiki sasa mabomba dawasco haya maji mimi binafsi sijui shida nini?
  5. F

    BAKWATA iliundwa na nani?

    W atu wanajua ila wanajifanya hawajui
  6. F

    Tafakar:Mbwembwe na ufahari mazishini kwa nini?

    Mimi siafiki matumizi ya namna hiyo nimeona marehemu anazikwa na saa ya gold huko itamsaidia namna gani ataenda nayo mbinguni??wanadamu tutafakari.
  7. F

    Sheikh Ponda ahamishwa toka Muhimbili kwenda Hospitali ya Magereza Segerea

    Hata yesu alikejeliwa kwasababu wayahudi hawakumwelewa sembuse a.k.a.sisi!?
  8. F

    Kiongozi wa namna hii hatufai

    mimi nasema alieshiba hamjui mwenye njaa sisi tumekuwa mazombie
  9. F

    Ponda: Risasi ilinichanganya

    hata enzi za utawala makaburu a south africa walitumia maneno hayo utii wa sheria bila shuluti .je wewe ungewatii wanaokukandamiza?
  10. F

    Mashuhuda walonga: Askari Aliyempiga risasi Ponda wanamfahamu kwa jina na sura

    mawakala wa pm wako wengi wana force unit chezea nini wewe?
  11. F

    Mashuhuda walonga: Askari Aliyempiga risasi Ponda wanamfahamu kwa jina na sura

    Binadamu wengine ni wa ajabu sana maana hata hisia za kiutu zimekwisha roho zao zinaharufu ya damu ubinafsi uko katikati ya vidole vyake na kalamu maandishi yake yamejaa chuki fitina na kejeli amevaa mavazi ya kiungwana yaliyoficha ushenzi roho yake yatamani kumwaga damu ili kutetea...
  12. F

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    Polisi wanatumia nguvu nyingi sana kwa raia wasio na silaha hii ni hatari sana wakumbuke kwamba wao ni sehemu ya jamii ya watanzania
  13. F

    Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

    Maana ya gaidi kwa maana ya tafsiri kiingereza ni terrolist wapigania uhuru wengi wamepachikwa jina hili hasa waamerika kusini na latino yote wanaopinga maslai ya mabeberu
  14. F

    Documentary ya Aljazeera inayofichua utumwa wa viongozi wa nchi za kiafrica

    Watanzania tumekuwa hatupendi kusoma magazeti na vitabu tumesoma saana! Magazeti ya udaku.utakuta mtu heri angalie bongo movie habari kwenye tv,hii sio bahati mbaya imetengenezwa iwe hivyo tuamke watanzania.
  15. F

    Wanaharakati wa haki za binadamu (LHRC) Ponda siyo binadamu?!!?

    Sisi hatuwezi kuamua tuipe serikali muda au na hao wanaharakati
Back
Top Bottom