FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,871
- 46,978
Unajua badala ya kupambana kuzuia michepuko ingekuwa rahisi zaidi kuitanua hii njia kuu walau iweze kupitisha magari angalau manne kwa mkupuo.., hii ingependeza sana.., si unona Kenya wanavyojiachia tu sasa..