Recent content by Fabian Zegge

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mwenye soko la Pumba anitafute

    Dar sahemu gani. Na gunia la debe ngapi
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mwenye soko la Pumba anitafute

    Mafinga kuna wateja kweli.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mwenye soko la Pumba anitafute

    Nitafutie wateja
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mwenye soko la Pumba anitafute

    Ifakara vijijini
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mwenye soko la Pumba anitafute

    Nimefanya uchunguzi kwa debe. Ni Tsh 1000. Likipanda sana halizidi Tsh 3000.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mwenye soko la Pumba anitafute

    Nimepata sehemu Pumba za mchele na mahindi zinazalishwa sana. Japo zinauzwa lkn bei ipo chini ukilinganisha na sehemu zingine. Kwa yeyote anaeyajua masoko ya kitu hii iwe hata nje ya nchi anitafute
  7. F

    JamiiForums Tanzania Masoko ya dagaa

    Nitafute kwa no 0692264676 tuyajenge
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kuagiza bidhaa Alibaba

    Du mbona ni kazi kidogo Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tuliopata Chanjo ya UVIKO-19 Tukutane hapa. Nini kilikutokea ulivyoipata?

    Mm nimechanjwa na nipo fit tu. Hata mitambo ipo kawaida tu. Wala tangu nimechanjwa sikuona mabadil ko yoyote tofauti na maumivu kidogo ya sindano Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  10. F

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kujiuliza kabla hujafungua shauri (case) la madai

    Mkuu naomba msaada mwaka 2019 dec nilipigwa Tsh 8,000,000/- na kampuni moja (sitaitaja) ya kudrill visima. Alikuja jamaa mmoja toka Tanga akapima eneo akaniambia maji yapo. Akaniletea hiyo kampuni tulikubaliana sh laki moja kwa kila mita moja.wao walivyopima walisema maji yanapatikana mita 120...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu akiua mtu aliyemfumania na Mke/Mume sheria inasemje?

    Inategemea umeuaje. Kuna kuua kw bahati mbaya na makusudi. 1. kuua kwa bahati mbaya mfano umesafiri unarudi nyumbani ghafla na mkukuta mkeo na mwanaume wamelala kwako. Kukawa na kitu chochote karibu ukakitumia Kama siraha utakuwa umeua bila kukusudia. 2. Kwa kuksudia. Unakisia kuwa mke wako ana...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuku ghali zaidi duniani

    Nitawapataje. Au nitayaoataje mayai yake
  13. F

    JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

    Hilo Ni goli halali kabisa. Magoli ya aina hii yanaitwa best quick free goal. Hata huko kwa wenyewe yanatokea. Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya korosho mkoa wa Lindi

    Naomba nitafute kwa no hii 0734443887. Tujuzane vzr
  15. F

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Nataka kununua gari ila linaonekana zee sana. Mwenyewe ananiambia kuwa injini ipo poa. Na mm sijawahi miliki gari hata siku moja. Gari lenyewe ni mark two. Nitajuaje kama gari ni zima. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom