Mimi msaidizi wa afya (MA) nataka mtu aje hospitali ya rufaa mkoa wa Mara (Musoma) mimi niende hospitali ya rufaa Songwe au Mbeya au Iringa
Mawasiliano ni 0676 515 994- Tuma SMS tu
OK watu wengi hawawezi kuingia kwenye mfumo kwahiyo sisi tunawasadia wanatupa hela kiasi kidogo tu cha fedha baada ya kazi elfu 50 (ili tulipie bandle na mawasiliano ya simu na moderm)- ila vocha na bundle ni tafrsiri tu kuwa malipo sio makubwa
Kama kuna mdau/Mzabuni anatakaa kutoa huduma mbalimbali Serikalini za (Vifaa vya Ujenzi, Stationary, Vinywaji, vyakula, vipuli vya Magari, Mifumo ya IT, n.k) kila mkoa-Tanzania kwa mwaka 2020/2021 ( *Tambua-bila kusajiliwa hutatoa huduma serikalini*)
Kazi zimetangazwa na GPSA kupitia Mfumo wa...
Kampuni ya Ukandarasi iliyopo mbeya inahitaji.
-Full Technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering.
-Lazima awe registered na Bodi ya Wahandisi yaan ERB
-Ajira ni ya Mkataba wa miezi 4 hadi 6.
-Uzoefu miaka mitatu nakuendelea wa kusimamia barabara.
-Mshahara kulingana na Maelekezo...
Habari ya humu wana jamii
Nahitaji mashine ya kusafisha mpunga na kuugradi madaraja maanne
Supplier au dealer awe na maelezo ya kutosha na kukubali kufunga na kutoa maelekezo namna ya kutumia natanguliza shukrani sana
Simu 0782 815994
Nimekuja Mwanza nimekuja kupunga upepo na kuangalia sehemu nzuri ya kubarizi usiku huu /kwenye twiga niwasalimie kidogo ugeni nao kazi, lakini pia mchana maeneo gani mazuri.
Sijui nikupe namba yangu nikupigie nikuelemishe kuhusu mahusiano,
Ivi unadhani pesa ndo kila kitu.
Mrudie Mungu ili aweze kukupa macho ya kuona umefungwa tayar
Sent from my TECNO DP8D using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.