Recent content by F.S

  1. F.S

    JamiiForums Tanzania Makonda Tunyooshee tatu mzuka (wadudu) Arusha

    Habari wakuu. Mh. Makonda ujapo Arusha kuanza kazi rasmi tunaomba uanze na tatu mzuka. Hawa vijana wameharibu sifa ya mkoa wa Arusha. Mitaa ya uwanja wa ndege mpaka kisongo hakufai wanakupiga tukio mpaka mchana kweupe. Tafadhali sana nusuru sifa njema ya mkoa huu. Nawasilisha. Asante
  2. F.S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    wanawake hawana level hasa linapokuja suala la aliyezaa naye. hawa watu hawaachanagi hata kama mwanaume alimtelekeza vip. akitaka kula ni kama kumsukuma mlevi. kikumbwa kuna mwamba kasema hapo "kamwe hutakiwi kuoa mke wa mtu"
  3. F.S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa single mama

    hamuachanagi ..lazima akubali kupigiwa .
  4. F.S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. F.S

    JamiiForums Tanzania CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa hoi kitandani

    www.chiefwire.co.tz
  6. F.S

    JamiiForums Tanzania Siasa za ubinafsi zinanyong'onyeza nafasi ya Tanzania ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Jumuiya ya afrika mashariki ni tunda la kila nchi mwanachama, hivyo ni jukumu la kila nchi mwanachama kuwa na mipango na mikakati mathubuti katika kuitetea nafasi yao katika kuijenga nchi yao. katika afrika mashariki tumeona nchi za wenzetu kama Kenya na Rwanda kuchagua wabunge wa EAC kimkakati...
  7. F.S

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni amjibu Rais Magufuli, hakuwa na mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa Polisi

    Poa Mkuu. Nimekuelewa sana.
  8. F.S

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni amjibu Rais Magufuli, hakuwa na mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa Polisi

    Nadhani tukichukua ujumbe uliopo kwenye tamko ingekuwa vyema zaidi na sio errors za kibinaadam. Kama hizo
  9. F.S

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni amjibu Rais Magufuli, hakuwa na mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa Polisi

    Nadhani ni kwa agizo la Mh. Rais na sio sheria....
  10. F.S

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni amjibu Rais Magufuli, hakuwa na mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa Polisi

    Very true. Ila naona kesho la polisi limebeba hili kisiasa zaidi. Wamesahau wao jukumu lao ni kuwahakikishia usalama watanzania, na suala la polisi halina chama.
  11. F.S

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni amjibu Rais Magufuli, hakuwa na mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa Polisi

    Yan hata migahawa ya Chai huku ninakoishi inafunguliwa SAA NNE asubuhi kisha usafi. Kila jumamosi ya mwisho wa mwezi nimeexpirience hicho kitu
  12. F.S

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni amjibu Rais Magufuli, hakuwa na mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa Polisi

    Ndio ni siku ya usafi kitaifa. Kila jumamosi ya mwisho wa mwezi. Anatekeleza agizo la rais
  13. F.S

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni amjibu Rais Magufuli, hakuwa na mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa Polisi

    Jacob ana hekima sana. Ni upinzani mwenyewe utaifa ndani yake. Anaonekana kuiweka kinondoni mbele zaidi na kuweka pembeni utofauti wao wa kisiasa pamoja na matendo mabaya ya serikali kuu kWa wapinzani. I salute you brother
  14. F.S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaani hela nikupe,na bado kileleni nikufikishe? Hapana kwa kweli

    Cha muhimu ni wote kufurahia tendo. Ukimpenda akakupenda suala la kuridhisha mtajifunza humor humo. Kama hajaridhika anaweza akakuambia namna bora ya kumridhisha. Tatizo tunaenda kwenye tendo ili tuonekane mashujaaa.
  15. F.S

    JamiiForums Tanzania UPDATES: The UK has voted by 52% to 48% to leave the European Union

    Hongereni UK kwa maamuzi yenu ya kidemokrasia. Hata kama yana madhara au hayana , cha muhimu mmeamua wenyewe kwenda mbinguni au kuzimu. Hongera sana commeroon kwa kuheshimu maamuzi ya wana UK na kuwa kiongozi mwenyewe kusimamia kile unachokiamini. Umekiri hutoweza kuendesha meli hiyo. Afrika...
Back
Top Bottom