Recent content by ezraplatform

  1. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    Whatsapp is all about our phone numbers,
  2. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Tecno User Vs Samsung and iphone user

    Mkuu iyo simu bado unayo
  3. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Tecno User Vs Samsung and iphone user

    Ungepeleka kwa fundi akubadilishie/akuwekee vizuri networking wire simple tuu wala usingejuta kuitumia tecno
  4. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Kusoma QT kwa mtu aliyeishia la saba ni sawa?

    Je kuna ukomo wa umri kufanya QT
  5. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anajishusha sana kwenye jukwaa la kimataifa. BBC wamchapisha suala la uzazi wa mpango!

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] comment yako imenichekesha Et Mtu wa asili
  6. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Tatizo la system charge

    [emoji28] [emoji28] ila simu ni simu mkuu, cha muhimu mawasiliano
  7. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Tatizo la system charge

    Zipo nyingi tuu, ila changamoto ni kwamba uende kwa fundi akuwekee, maana ni lazima simu ifunguliwe. Na inapendeza zaidi kama utampa fundi mwenyewe akutafutie iyo betri, maana zinajaribiwa kabla ya kununuliwa ili usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia
  8. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Tatizo la system charge

    Betri unaweza kubadilisha hata kama ni la ndani, nenda kwa fundi akubadilishie kama tatizo ni betri, Hayo mabetri yapo
  9. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    WhatsApp group is serious needed
  10. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
  11. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

    Kumbe tuko kijiji kimoja mkuu Mimi nipo kwa mbele kama unaelekea mengwe
  12. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Deki used inauzwa 40000/= bado mpya. Imetumika mwezi mmoja. Ipo Temeke

    Kwann unaiuza kongoz na ni mpya INA tatizo gan
  13. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Waliosoma shule za Uganda primary to S.6

    Nakumbuka kabalagala shule zikigungwa tunafata watoto wazuri wa east African university
  14. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Waliosoma shule za Uganda primary to S.6

    St. Peter's SSS Naalya
  15. ezraplatform

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Msanii wa maigizo, Maureen Wana(Sabrina) afariki dunia

    Picha mkuu, wengine hatumjui
Back
Top Bottom