Recent content by ezra hb

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Leo huku Kocha Fahdu akiipeleka fainali Stellenbosch

    kuacha hata kukosa goli mwishoni ahoua anacheza mpira wa kitoto sana. tusipofuzu binafsi lawama zangu ni 50% ahoua 30% kocha 20% rest of the team players. huyu jamaa ukimfuatilia mambo yake kwa makini uwanjani mwanzo mwisho ana utoto utoto sana ( Yani mambo ambayo amateur leagues u17 huko...
  2. E

    JamiiForums Tanzania FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

    kuna watu wanangekewa sana maishani basi tu.kweli onana & saido ni wachezaji kabisa wa kuwa simba.
  3. E

    JamiiForums Tanzania FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

    ni bora kucheza nusu uwanjani kuliko kuwa na saido mpo full.
  4. E

    JamiiForums Tanzania FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

    yani uwezo wa onana = saido = kenedy = baleke = Zero , hawa wachezaji kuendelea kucheza simba inafikirisha sana.
  5. E

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

    mzamiru
  6. E

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

    jamaa anakera sana. ana akili ndogo sana ya kimpira. na baleke anajiona staa yani uwanjani timu inalengo la kupata goli .yeye na inonga wanawazia kushangiliwa na mashabiki. inakera sana.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

    sorry ni kuwa kuna four 1 zero hamna
  8. E

    JamiiForums Tanzania Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

    we jamaa umenichekesha sna.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    waungwana kuna song la zamani kurasini sda wanaimba " siku zinakuja mbele siku za kuhuzunisha siku ambazo hatujapata kuona mfano wake " ole ole ole kama kuna yeyote atakuwa nalo nitabarikiwa sana.
  10. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Poleni ndg na jamaa wa familia hii Mwenyezi Mungu awape wepesi katika kipindi hiki.binafsi sijui sorce ya taarifa ya hizi za marks ie. Ave hii ya 98 .but kama ni kweli kabsa alipata hivo nijuavyo adv phys eti mtu alipga 99 baada ya kutafuta average ya paper zile tatu bila kujali sana nature ya...
  11. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    umeongea kiutani ila namm naamini hiki hata mtu akamwimbie juujuu nature ya paper ya physics advance kesho yake upige paper bado unaweza usipate 90+
  12. E

    JamiiForums Tanzania Obama (USA) kila kitu wakwanza yeye!!!

    vilevle obama ni full professor wa sheria. mkuu vp hiyo pia alipendelewa? and nje ya tasnia ya uongozi kuna mambo mengi amefanya makubwa ktk law.
Back
Top Bottom