Recent content by Ezekiel nyalusi

  1. Ezekiel nyalusi

    Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    Kutokana na skendo kubwa iliyo mbana mbavu mh.Rc Wa Dar es saalam ya vyeti feki kama alivyoita Mch.gwajima je! Mh.raisi atakaa kimya kweli kwa hili?
  2. Ezekiel nyalusi

    Hapana sikubali hebu vunja mbavu na wewe

    hapa mtaani kwetu kuna grocery wanapiga sana kelele wakisha lewa nimepita nikaita kwa sauti Makondaaaaaaaaaa.. yaani hapa sahiv wengine tayar ni vilema sipendagi ujinga wa kusikia matusi ya walevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Ezekiel nyalusi

    Bodi ya mikopo yakamilisha uchambuzi wa maombi ya mikopo, 20,183 wapata kati ya 88,163 walioomba

    Sakata Lilipo now nikutaka kujua je , majina yameshaisha yote? Ili tuliokosa mikopo tuliopo chuoni tuanze kurudi home.
  4. Ezekiel nyalusi

    Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

    Eee na angefukuza madarasa tufugie kuku pengine hlo wangelweza
  5. Ezekiel nyalusi

    Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

    Hakuna elimu bure ndani ya ccm
  6. Ezekiel nyalusi

    Sipendi ujinga

    Aaaa cpend ujinga mm
  7. Ezekiel nyalusi

    HAPANA SIKUBALI HEBU CHEKA NA WEWE

    *Zuzu* alipewa gari aendeshe matokeo yake akaua watu 50 *Traffic*:Imekuaje ukaua watu wote hawa? *Zuzu*:Nilikuwa spidi ghafla nikaona watu weng kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyeje? *Traffic*:Ningemgonga yule mmoja ilikuokoa maisha ya watu wengi *Zuzu*:hicho ndo nlichokusudia lkn...
  8. Ezekiel nyalusi

    RC Makonda aibiwa simu

    Tz n kawaidaaaaa
  9. Ezekiel nyalusi

    Kingunge awaomba Mwinyi na Mkapa kuzungumza na Rais Magufuli

    August 24 2016 Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amekutana na waandishi wa habari na kutumia nafasi hiyo kuwaomba wazee ambao walikuwa viongozi wakubwa kuanzia kipindi cha mwalimu mpaka awamu ya nne, bara na visiwani kuomba kukutana na Rais Magufuli wamuombe aitishe kikao cha...
  10. Ezekiel nyalusi

    Mambo ya msingi kabla hujaanza mahusiano

    MASWALI YA KUJIULIZA KABLA HAUJAANZISHA UHUSIANO NA MTU..! [emoji843]Yafuatayo ni Maswali ya muhimu kabla haujaanzisha uhusiano na mtu [emoji116] [emoji117] UNAMFAHAMU VIZURI [emoji780] NI jambo la Msingi sana kuhakikisha huyo unayetaka kuwa nae unamfahamu vizur. Watu wengi leo huanzisha...
Back
Top Bottom