Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
- Thread starter
- #21
*_```Kuna jamaa kaniblock```_* eti kisa baada ya kuniuliza vp uko kwenu mvua inanyesha? *Namimi* _nikamjibu kwani sms niliokutumia ilikuwa na matope.
*Sipendagi ujingam ujue*

*Sipendagi ujingam ujue*




*Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea mi ndo najivinjari hapa'. Mume kajibu kwa uchungu, Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nakuua.*
�
