Sawa mkuu lakini taarifa kuwa bara zima la afrika hakukuwahi kuwa na ziara rasmi ya rais kutoka bara la afrika kwenda USA ndani ya kipindi Cha miaka 15 nacho kinafikirisha sana.
Kwahiyo unamaanisha hata ule utitiri wa Marais wanaotutembelea inawezekana tukaona ziara rasmi zikawa chache hata iwe zaidi ya miaka kumi huko nyuma kwa Marais kutoka bara jingine?
Yaani siku kukitembelewa na rais wa uturuki Recep Tayyip Edogan tuseme ni rais wa kwanza kutoka bara ulaya kufanya...
Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita.
Swali ni je Hawa Marais wengine kutoka afrika ambao kwa mamia walioitembelea marekani kwenye hicho...
Kwakweli hata Mimi binafsi nimeshindwa elelwa kwanini rais asafiri na helicopter kwenye Hali mbaya ya hewa vile, Bado tunaambiwa kuwa helicopter yenyewe iko na miaka zaidi ya 30 hata kampuni husika ya ndege ilisha acha kuzitengeneza ndege za aina hiyo kwa miaka mingi.
Hapo sijui vipuri...
Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business.
Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business.
Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business.
Ahsanteni
Clip zipo shida ni usambazwaji wa taarifa na coverage ya ule mgogoro wa sudani kwenye media Ni mdogo Sana kulinganisha na Hali halisi ilivyo..
Binafsi naweza kusema tukihesabu idadi ya waathirika wa Vita huko SUDAN na tukalinganisha na Palestine utaona kabisa Sudan Hali ni mbaya zaidi lakini...
Nimeshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaouwawa huko Sudan huku zaidi ya watu milion sita wakiyakimbia makazi yao na kuishi kwenye kambi za wakimbizi, huku hali ya chakula ikiwa mbaya baadhi ya watumishi wa UN wakioko huko wamekiri kuwa chakula hakitoshelezi mahitaji.
Kushtutuka kwangu...
Ipo pembezoni kidogo uelekeo wa old shinyanga....eneo linaitwa butengwa.
Ukitoka stendi kuu ya shinyanga (manyoni) chukua usafiri Kama ni bajaji au pikipiki za kukodi waambie wakupeleke butengwa kupitia barabara ya old shinyanga halafu halafu wakunje kulia barabara inayoelekea machinjio ya...
Hoja yako iko na mapungufu kadhaa likiwemo suala la kuzingatia factor Kama
Elimu, imethibitika kuwa wasichana wanaotumia muda mwingi kwenye elimu huwa wakichelewa sana kuolewa na kuanzisha familia. Kwahiyo msichana anaweza jikuta anachelewa kuolewa akiwa na tabia njema kabisa na bila mapungufu...
Kwa mujibu wa formula inayotumika kupata estimation ya idadi ya bati, kadri Kona/mapaa yanavyokuwa machache ndivyo usahihi wa idadi itakayotajwa unavyo ongezeka.
Hivyo Kama mapaa yatakuwa si mengi idadi itabakia kuwa hivyo kwa ule muinuko wa mapaa ya nyumba nyingi za kisiasa.
Lakini endapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.