Recent content by explore

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Thanks so much nimeziona Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Habar wakuu wa JF Mim ni msichana wa miaka 24 naishi DSM Nina fani ya ukutubi ( librarian) ngazi ya cheti. 1. Ninauzoefu na fani niliyosomea kwa miaka miwili. 2. Ninauzoefu na kazi za stationary and secretarial services pia ninauzoefu Wa kufanya utafiti kwa mwaka mmoja. 3. Ninauzoefu na kazi...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya usafi wa hotelini na maofisini ya BM inatoa ajira

    Alafu nyie ni matapel kwel nilimpa mdada mmoja hiyo no hapo juu anahitaji kazi alafu mkamjibu shit Mara mumkatie cm cjui MNA mana gan
  4. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu Wa Kazi ya Customer Care/ Call center

    [emoji85] [emoji85] na mie
  5. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Jmn bado natafuta kazi najaribu kuupdate wakuu
  6. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mpaka naingia kaburini sitamuamini tena mwanamke

    Tatizo unajiokotea tuu mkuu kwan lazima uchukue mwanamke club au bar....alafu mbna wapo wanawake wengi tuu wanaojiheshimu na kujitambua?? Sasa ww tatizo unakurupuka na unaambulia makapi alafu km umejiwekeaaa kumpata mwanamke na kutimiza haja zako tuu then unatemana nae teyar hiyo ni kma laana...
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mpaka naingia kaburini sitamuamini tena mwanamke

    Pole njoo niuondoe mkuu
  8. E

    JamiiForums Tanzania IDEA: Jinsi ya kutoka kimaisha kwa hali ya sasa

    Uwiiii.....na nikivuta wayaaa.....ujue nishajipanga bora niimbe tuu mana hizo network marketing zinaweza kukufanya chizi aseee
  9. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdada anipe kampani ya vacation Nairobi

    Mie lol Nina 56kg
  10. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempata ana mapenzi ya kweli ila ana watoto wanne

    Kiukwel kwanza angalia umri wa watoto wake, pili baba yao yupo au laa....km watoto wake ni wakubwa na wanauwezo wakujitegemea go on na process zenu ila km bado niwadogo watakupa headache ya ajabu .....tatu huyo mama kazi anayofanya income yake na pia yako je itaweza kuendesha familia yote...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Huko wapi mchungaji gwajima???? Aje atabiri na hili???
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kwa fani hii ya forck operator wapi kazi ipo?

    Nenda bandar TICTS
  13. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nipate wapcijajibiwa
  14. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Wokey
  15. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Tunaongea tunaelewana
Back
Top Bottom