Naomba msaada wenu Wa Kazi ya Customer Care/ Call center

Tasbeeh313

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
1,915
2,046
Hello jf.....

Natafuta kazi ya customer care wa mtandao wowote ,au kampuni yeyote iliyo ya halali ,kama kuna e mail ya kutuma naomba msaada wenu, au kuna MTU anafanya hiyo kazi anipe mtiririko wa kufanya ntakuwa muungwana

√√nothing impossible under the community kind this of us, serious am in need of this position , please play nice with my thread don't provoke through nude respond....

Blue Monday jf..........
 
nadhani suala la pm ni la kiubaguzi sana,kama lengo lako ni kusaidia unaweza mwaga maelezo kwa uwazi ili wenye uhitaji waweze kufaidika zaidi.
 
Mnatunyong'onyesha watanzania wenzenu mi nahitaj kaz jman japo elim yangu ndogo form six nisaidieni nipeni muongozo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom