Recent content by Exogenous Factor

  1. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Una uhakika wananchi wako salama?? Au hao wanatekwa na kuuliwa mchana kweupe kwenu nyie ni wanyama?? Au mpaka ifike zamu yako ndugu??
  2. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Mimi sikubaliani na mtazamo wa Padre Kitima kwamba wananchi ndio waongoze mchakato wa maridhiano

    Serikali ya wananchi ni ile iliyochaguliwa kwa HAKI na wananchi na hiyo ndiyo itakayokuwa inayafahamu matakwa ya wananchi. Vinginevyo kama ilivyo ya MALAWI ni ubatili.
  3. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amchana Lissu na CHADEMA kwa kuleta mizaha kwenye harakati za kukomboa Taifa kufuatia salamu za Lema na Lissu kwa kifo cha mume wa Rais

    Yawezekana shida ipo kwenye tafsiri tu. Nafikiri tafsiri ya Mange haikuwa kusudio la Lissu, la kuuliza hadharani kama salaam zake zilifika na akimalizia na kicheko katika swali lake. Lakini yawezekana katika swali lile kwa makamu visiwani ulikuwa ni ujumbe kwa mtu fulani juu ya anacho kijua...
  4. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

    Kesi ya ugaidi mliyokuwa mmempa hamkuwa mmeyasema hayo unayoyakanusha hapa?
  5. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania KERO Wachina wa Global Aluminium Ltd cha Kibaha – Zogowale wananyanyasa wafanyakazi wao

    Hujui halafu unakandia! Taab gani hii! Yeye aliyeko huko, anayeyaishi hayo kayaleta hapa. We unasiriba, kwamba si mkweli?? Haya leta hicho unachokidhania.
  6. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Makosa ya kiprotokali katika 'barua ya Nchimbi'

    Na hiki kitu nadhani wengi hawajakiona. Sijui imekaaje hii!
  7. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Vijana muacheni Rais Samia afanye anavyoviweza, hawezi kuridhisha kila moja

    Hivi unafahamu kwamba siasa ndiyo inaamua maisha yako ya leo na kesho? Unaposema vijana waachane na siasa maana yake una washauri waachane na mustakabali mzima wa maisha yao. Wawakabidhi kikundi fulani tu. Una uhakika kama kichwa chako kipo sawasawa? Hujawahi kupata mtikisiko kichwani...
  8. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Hii Quotation ya leo inapasua anga, ardhi na maji

    Huyo jamaa ni Taka-Taka hata usihangaike nae!
  9. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Nipo hapa kuwajibu wote walioona kuwa Lissu anatafuta 'Public sympathy'

    Unaamini kwenye ili shitaka la Lissu, MAHAKAMA inafanya kazi yake??
  10. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

    Lwangwa hapo zilipokuwa ofisi za Halmashauri, ziliendelea kuwapo hapo? Itete, Kandete, Lufilyo, Itete,Isange, Kandete.
  11. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Dalali hakumtonya mzee wangu kuwa mtu anayetaka chumba ni shoga

    1. Unaweza kuthibitisha kwamba kweli ni shoga? 2. Una ushahidi wa madai ya yeye kuliwa kinyesi hapo kwa baba? 3. Mkataba unampa mwenye nyumba haki ya kufatilka faragha ya mpangaji wake?
  12. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Katambi: Heche anajua namzidi akili, kwahiyo siwezi kumuiga uongozi kutoka kwake

    Hakika. Huyu hata nkutane na chatu anataka kummeza, naponda kichwa chake afe chatu ammeze kwa wepesi.
Back
Top Bottom