Recent content by Exodus85

  1. Exodus85

    Tanzania pekee,ukiwa bingwa kumtukana rais na serikali basi unakaa kugombea urais!

    Na ni Tanzania pekee,ukiwatukana wapimzani na kuwachafua unateuliwa kuwa mkuu wa wilaya!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Exodus85

    Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Mungu ni mwema na huwa hawai wala hachelewi katika kujibu maombi yako,kazana kumuomba akuonyeshe kusudi lake kwanza kabla ya kutumia akili zako mwenyewe. Ya kesho yatakufurahisha na utasahau shida zote.Ili jambo kubwa na lamafanikio lifanyike ni lazima upitie magumu kukuimarisha .Soma Zab.121
  3. Exodus85

    Rai Muhimu kwa Wanasiasa kuelekea 2020

    Hakika kama kila mtunzi wa kitabu lazima awe na mafanikio katika alichoandika basi vitabu visingeuzwa kabisa.Lakini wengi ya watunzi hawana mafanikio kama msomaji wa kitabu husika hii ni kutokana na fursa anazokuwa nazo msomaji, la sivyo watu wasingekubali kufungishwa ndoa na mapadre ambao...
  4. Exodus85

    Marekani: Tuko tayari kusaidia uchunguzi wa shambulio la Lissu ikiwa Serikali itatoa ruhusa

    Sahihi ni bora kuomba msaada wa kitaalamu kuchunguza kuliko kuomba hela ya ARVs, Condoms na ujenzi wa vyoo
  5. Exodus85

    Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Malengo ya kukusanya kodi yamewapiga mtama wanakimbilia kiki za kisiasa TRA ni shida sana
  6. Exodus85

    TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Umeshajua serikali ipi!?, kuna serikali ya kijiji,kata,wilaya unajua anamaanisha ipi pia kuna serikali ya Congo,Gabon na nyingine nyingi.Yupo sahihi hadi ujue anamaanisha ipi ndio unapata haki ya kumuhukumu
  7. Exodus85

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Uhai alionipa na kunishindia majaribu
  8. Exodus85

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Hii ndio reflection ya wizi wa kura.hata mgombea na familia yake hawakujipigia too shamefull
  9. Exodus85

    Videos: Patrobas Katambi enzi zake,"akiwa amenyimwa fursa"

    Hakuwa na akiba ya maneno sasa anakula matapishi yake,fursa ya njaa mbaya sana
Back
Top Bottom