Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Wataalamu wa siasa na madaraka wanakubaliana kuwa mamlaka huzaa nguvu, mtu anatafuta mamlaka ili awe na nguvu, na kwa vyovyote vile, madaraka ni mapambano ya kimadaraka (Power Struggle). Madaraka, Cheo au Nguvu ni falsafa ya tafsiri moja tu kuwa ni nguvu apatazo mtu kwajili ya kuongoza jamii ama kundi la watu katika jamii.
Tofauti ni moja tu, Madaraka, Cheo au Nguvu yanaweza kupatikana kwa njia mbili, ama kwakuteuliwa na watu wachache au mtu mmoja mwenye madaraka juu yako, ama kwa kuchaguliwa na wengi wenye uamuzi wa jumla. Katika ulimwengu mpya, mamlaka yote ya kisiasa apatayo mtu hutoka kwa watu, yaani huchaguliwa na watu kwa kura. Ili uchaguliwe na watu, unatakiwa utengeneze ushawishi kwa watu hao ili wakuone wewe ni bora kuliko mtu mwingine.
Jambo muhimu linaloumiza na kufifisha nduto za vijana wengi ni njia zipi za kutumia ili kuwashawishi watu? Hili ndio limekuwa mtihani mgumu kwa wanasiasa wengi dunia, na katika kukusaidia hilo, ulimwengu umebuni taaluma halisi ya watu wenye kufunzwa na kusaidia kuandaa njia bora kwa mwamasiasa ama mtu yeyote anayetaka madaraka, njia bora za kushawishi wapiga kura nk, watu hawa huitwa wataalamu wa mikakati ya ushindi kisiasa.
Katika kujaribu kusaidia wanasiasa hawa, mimi nimefanya utafiti wa njia bora kwa mwanasiasa na ama chama kuweza kushinda uchaguzi ndani ya chama chake cha Siasa (kura za maoni) na nje ya chama cha siasa. Mbinu za kushinda kura za maono zinaweza kutofautiana sehemu moja ya eneo la kiuchaguzi, na eneo lingine lakini yapo mambo kimsingi ambayo hayabadiliki iwe ulaya au afrika, iwe Mbeya au Bukoba.
Katika kusaidia hilo, nimekusanya "utafiti" wa kitaalamu na mifano ya chaguzi nyingi duniani na katika vyama toautitofauti duniani, namna wagombea walivyoshinda na namna vyama vyao vilivyoingia madarakani. Mifamo ya uchaguzi wa Nigeria uliomwingiza madarakani Buhari, Uchaguzi wa Panama, Uchaguzi wa Kenya, Uchaguzi wa Marekani, Uchaguzi wa Zambia, Uchaguzi wa Malawi nk.. Utafiti huu kwapamoja nimeuita ni mkakati wa ushindi.
Nimeuweka katika muundo wa kitabu chenye kurasa 250, na hivyo yeyote anayetaka kugombea udiwani, Ubunge na Urais anaweza kuutumia kama muongozo wake muhimu. Ushindi wa kisiasa hutokea kwa maandalizi ya muda mrefu, ni watu wachache sana wanaoweza kushinda madaraka bila kujiandaa yaani anaamka asubuhi anajaribu tu kugombea kisha anashinda, huyu hushindwa kuongoza na huanguka.
Nikusihi mwanasiasa unayetarajia kuwania udiwani, ubunge nk, mikakati uianze sasa kwa kupata kitabu hiki kikuongoze, utaepuka kuingia gharama kubwa za kuandaa mikakati na mwisho wa siku ukashindwa.
Mkakati huu utaupata kwa shilingi laki saba tu.(700,000/=)
0715865544
0755865544