Recent content by Executive Diary

  1. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha masomo kwa vyuo vya kati na vyuo vikuu kuanzia tarehe 18/03/2020 ili kupambana na Corona

    Nasubiri apige marufuku mikusanyiko kwenye nyumba za ibada zote walau kwa mwezi mmoja au zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

    China baadhi ya maeneo ambapo shuguli zilisimama shuguli zimeanza tena hapo jana mashule na uzalishaji umeanza death rate kwa sasa ni chini ya 5% . Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ukiacha kazi, ukistaafu au kufukuzwa, kwanini unapoteza marafiki?

    Itakua wewe ndio una tatizo mbona mimi sijawahi kua na kazi lakini nina marafiki kibao watumishi na hawajawahi kunikimbia na nikiishiwa nawapiga vizinga kama kawa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tuache masihara, daladala ni usafiri wa watu duni hapa Dar es salaam

    Ongezea na bajaji + bodaboda. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

    Nafikiri hivyo pia Dettol ,clorine, v-rid na ethanol could suit the purpose. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Unashauri vifugwe kwa muda gani? Je itakua ni suluhisho la tatizo Note: janga linaweza kwenda kwa kipind kirefu hata miaka miwili Sent using Jamii Forums mobile app
  7. E

    JamiiForums Tanzania Badala Ya Kudhibiti Uingiaji Wa Corona Nchini Tunapaniki

    Napendekeza waziri wa afya , waziri wa mawasiliano na uchukuzi pia waziri mkuu wa wajibike kwa uzembe .wameshindwa kuchukua preventive measures mpaka tunapata wagonjwa humu nchini Yani walishindwa hata kuiga kutoka kwa tramp alipopiga marufuku ndege zote kutoka china na ulaya haya sasa ngoja...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Kubwa: Morogoro, madaraja na mafuriko-nchi kukatika mawasiliano!

    Kwa hivyo unashauri hao wakulima wakalime wapi au waache kulima serikali itawapelekea chakula Sent using Jamii Forums mobile app
  9. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

    Na huu ndio ukweli hata biblia inasema Pesa ipitayo mikononi mwako inaweza kukufanya tajiri au masikini. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mfugale amuokoa Kamwelwe kutumbuliwa

    Malawi na Zambia ni bahati mbaya makusudi au hujui . Sent using Jamii Forums mobile app
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wadau na wajasiriamali, naomba kujuzwa kuhusu Mr. Kuku Farms na uhalisia wa aina ile ya biashara

    Ngoja niweke kambi hapa kusikilizia mayowe ya watu kupigwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mtu aliyekuzidi akili, fedha au mafanikio, muulize swali hili moja kama unataka kufika viwango vyake

    Walau ungesema tuulize what strategy are they using. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. E

    JamiiForums Tanzania Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

    Hujui hata unaandika nini, kua tu mpole Muungana bado upo sana kuna mikataba mingi ya siri usiyoijua kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwahivyo hizo wishes zako ni kama machozi ya samaki tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mko wapi wanaJF na Watanzania mliokua mnashangilia China kukumbwa na Corona?

    Kama unaongelea context hiyo ya bidhaa kuadimika bas ni bora wapotee kabisa tuanze kupata vitu vyenye quality kutoka Ulaya na Marekani. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. E

    JamiiForums Tanzania Hii video inayosambaa mitandaoni kuhusu Corona Moshi ni ya kweli?

    Hizo quarantine ziko wapi japo kwa mifano michache tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom