Mko wapi wanaJF na Watanzania mliokua mnashangilia China kukumbwa na Corona?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,632
Kuna wakati tunafanya makosa makubwa sana ya kushangilia mambo ambayo hayana maana sana.

Mfano rahisi tu ni majuzi tu China ilipokumbwa na Corona Virus watu wengi sana majukwani walishangilia. Kwa mfano Jukwaa la Kimataifa walishangilia kuwa China iishe kabisa maana ndiyo inafadhili madikteta wa Kiafrika.

Lakini huyo huyo mtu anasahau athari ya anguko au kuyumba China kiuchumi ambapo nchi kama yetu bidhaa nyingi tunazotumia ni China-made.

Hata ukikana hilo, angalia hata nyumbani au geto kwako, lazima tu kutakua na bidhaa ya Made in China.

Tujifunze kunyamaza tuache kuropoka ropoka hovyo.

Hivi karibuni ngojeni stock za bidhaa na mizigo iishe Kariakoo, Karume na Ilala ndiyo mtaujua mziki wake.

Na ukizingatia kwa sasa uzalishaji China kwa kiwango kikubwa umekuwa pending.

Tujifunze sana kutafakari tunayosema maana vingine vinagusa maisha yetu ya kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nikadhani Mahindi na Mchele yanatoka huko, kumbe unaongelea bidhaa ambazo tunaweza kuacha na Sio Nyama na Maharage.
Kuna wakati tunafanya makosa makubwa sana ya kushangilia mambo ambayo hayana maana sana.

Mfano rahisi tu ni majuzi tu China ilipokumbwa na Corona Virus watu wengi sana majukwani walishangilia. Kwa mfano Jukwaa la Kimataifa walishangilia kuwa China iishe kabisa maana ndiyo inafadhili madikteta wa Kiafrika.

Lakini huyo huyo mtu anasahau athari ya anguko au kuyumba China kiuchumi ambapo nchi kama yetu bidhaa nyingi tunazotumia ni China-made.

Hata ukikana hilo, angalia hata nyumbani au geto kwako, lazima tu kutakua na bidhaa ya Made in China.

Tujifunze kunyamaza tuache kuropoka ropoka hovyo.

Hivi karibuni ngojeni stock za bidhaa na mizigo iishe Kariakoo, Karume na Ilala ndiyo mtaujua mziki wake.

Na ukizingatia kwa sasa uzalishaji China kwa kiwango kikubwa umekua pending.

Tujifunze sana kutafakari tunayosema maana vingine vinagusa maisha yetu ya kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati tunafanya makosa makubwa sana ya kushangilia mambo ambayo hayana maana sana.

Mfano rahisi tu ni majuzi tu China ilipokumbwa na Corona Virus watu wengi sana majukwani walishangilia. Kwa mfano Jukwaa la Kimataifa walishangilia kuwa China iishe kabisa maana ndiyo inafadhili madikteta wa Kiafrika.

Lakini huyo huyo mtu anasahau athari ya anguko au kuyumba China kiuchumi ambapo nchi kama yetu bidhaa nyingi tunazotumia ni China-made.

Hata ukikana hilo, angalia hata nyumbani au geto kwako, lazima tu kutakua na bidhaa ya Made in China.

Tujifunze kunyamaza tuache kuropoka ropoka hovyo.

Hivi karibuni ngojeni stock za bidhaa na mizigo iishe Kariakoo, Karume na Ilala ndiyo mtaujua mziki wake.

Na ukizingatia kwa sasa uzalishaji China kwa kiwango kikubwa umekuwa pending.

Tujifunze sana kutafakari tunayosema maana vingine vinagusa maisha yetu ya kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app

Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vibaya kufikiri unakula nyama kwa hisani ya muuza bucha, wakati yeye anahitaji hela yako ili akuuzie nyama
 
Kuna wakati tunafanya makosa makubwa sana ya kushangilia mambo ambayo hayana maana sana.

Mfano rahisi tu ni majuzi tu China ilipokumbwa na Corona Virus watu wengi sana majukwani walishangilia. Kwa mfano Jukwaa la Kimataifa walishangilia kuwa China iishe kabisa maana ndiyo inafadhili madikteta wa Kiafrika.

Lakini huyo huyo mtu anasahau athari ya anguko au kuyumba China kiuchumi ambapo nchi kama yetu bidhaa nyingi tunazotumia ni China-made.

Hata ukikana hilo, angalia hata nyumbani au geto kwako, lazima tu kutakua na bidhaa ya Made in China.

Tujifunze kunyamaza tuache kuropoka ropoka hovyo.

Hivi karibuni ngojeni stock za bidhaa na mizigo iishe Kariakoo, Karume na Ilala ndiyo mtaujua mziki wake.

Na ukizingatia kwa sasa uzalishaji China kwa kiwango kikubwa umekuwa pending.

Tujifunze sana kutafakari tunayosema maana vingine vinagusa maisha yetu ya kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ujinga tu wa baadhi ya watu,huenda waliona kama ni janga la China pekeyao lakini sasa mambo ni tofauti zaidi,corona limekuwa ni janga la kimataifa hakuna wa kumcheka mwenzie tuombe salama tu.
 
Back
Top Bottom