Recent content by exalioth

  1. exalioth

    JamiiForums Tanzania Baarua Kwa Mtandao Wa Halotel.

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU CHANGAMOTO YA MTANDAO WA HALOTEL MKOA WA GEITA Ndugu Huduma kwa Wateja, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mteja wenu wa mtandao wa Halotel niliyepo mkoa wa Geita. Naandika ujumbe huu kutoa malalamiko rasmi kuhusu huduma yenu ya kupiga na kupokea simu ambayo...
  2. exalioth

    JamiiForums Tanzania Zuchu kamchamba sana Mama Dangote kwenye 40 ya mwanaye

    Ameposti kulingana na jukwaa linamtaka alete habari yoyote ya kiburudani,,,ok ulitaka alete habari gani kwa jukwaa hili? Wewe kama hutaki haya mambo nenda kwenye jukwaa lako pendwa asante
  3. exalioth

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    04:14 usingizi hola
  4. exalioth

    JamiiForums Tanzania Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

    Bora hata w
  5. exalioth

    JamiiForums Tanzania Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

    Umefeli huwezi kulinganisha mtume Mohamed na vitu vya kijinga toa hao wavuja jasho no2 na no 3 mtendee haki jamaa
  6. exalioth

    JamiiForums Tanzania Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

    Ndege john si alikufaga au kuna memba anatumia hii aid
  7. exalioth

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

    Mwanamke hawezi kua na hisia na wanaume wawili kwa wakat mmoja kwaio huyo alitoka nje ya ndoa ndicho kilichomkuta na nivigumu kurudi kama zamani ndio maana mtu akianzaga tabia hiyo ndoa humshinda
  8. exalioth

    JamiiForums Tanzania FT: England 1-2 Argentina | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 15 Julai, 2026 | Nusu Fainali

    Kila mmoja ana sifa zake za kipekee ambazo kila yeye huwezi kumringanisha na mwenzie
  9. exalioth

    JamiiForums Tanzania Messi Avunja Rekodi Iliyodumu kwa Miaka 60

    Rekodi nyingine hata hazina maana
  10. exalioth

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

    Haujui sheria za mpira kama mimi
  11. exalioth

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    CCm nna wasiwasi na uongozi
  12. exalioth

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Hii ni saa nane yaani usingizini umekatta saaa saba
Back
Top Bottom