Recent content by Eversmilin Gal

  1. Eversmilin Gal

    Wadada tufunguke!

    mi akinikera namuandikia kama ni email au namtext, natoa kila kitu kilichopo kwa roho yangu,na hapo uchungu wote unaisha,
  2. Eversmilin Gal

    kufumaniwa kusikie tu...

    Nomanoma kwelikweli
  3. Eversmilin Gal

    Nisaidien jaman....

    Pole mwaya Mungu atakufuta chozi lako
  4. Eversmilin Gal

    interview:ungekua wewe ungefanya nini

    Mi nadhani watu wameniona chizi
  5. Eversmilin Gal

    Habari za kusikitisha!!!!

    Da kuna mtu ameingia kwa daladala. Halafu ndo nimefungua hiii thread akajua namcheka yeye maskini angejua ni viroja vya jf
  6. Eversmilin Gal

    Mama yangu adui yangu

    Dah kweli story inaelekea patamu
  7. Eversmilin Gal

    msinipige mawe

    Naogopa mwenZangu cjui ntaitwa nani vile
  8. Eversmilin Gal

    msinipige mawe

    Samahani lakini Eti ni kweli chanzo cha fujo Bungeni ni wingi wa vijana bungeni. NaomBeni msinitukane nimeisikia hii hoja sehemu
  9. Eversmilin Gal

    SMS hizi! Ungefanyaje?

    Dah jf ni zaidi ya Burudani hapa mbavu zangu zote zina hali mbaya Ila ya yule mchaga ya aikaeli maSawe married kidogo nipoteze mBavu
  10. Eversmilin Gal

    SMS hizi! Ungefanyaje?

    Dah jf ni zaidi ya Burudani hapa mbavu zangu zote zina hali mbaya
  11. Eversmilin Gal

    yuko njia panda

    Mamii mzima wewe mic u sana
  12. Eversmilin Gal

    yuko njia panda

    Sijui anachotaka. Ningeongea na mwenyewe Isha ningemuamBia achague kitu roho inapenda ila kwa huyo FRED ningemuamBia awe makini sana kwani akipata agemate wake atabwaga au ataanza fanyiwa visa,huyo baBa mtu mzima hivyo na alishazunguka na dunia kama ndo gumegume ndo maana mpaka sa hizo hajaoa...
  13. Eversmilin Gal

    yuko njia panda

    huyo Baba anmpenda na anataka amuoe kwa hiyo cyo kimaslahi amechoka upweke
  14. Eversmilin Gal

    yuko njia panda

    Cyo business ila huyo baba anampenda na ameahidi kumtunza na yuko tayari Aende kwa wazazi
  15. Eversmilin Gal

    yuko njia panda

    Wapendwa za asubuhi, Kuna mama mmoja ni rafiki yangu kaniomba mchango wangu,ana Binti yake. Tumpe jina (Isha)ambaye ni mwalimu wa sekondari huko mkoani katika pitapita zake wakatokea kupendana na mwalimu mwenzake FRED lakini wa shule tofauti,ila yule mwenzie Fred ni mdogo kuliko Isha miaka...
Back
Top Bottom