mimi mwenzenu naangalia na mood yake kama atanifokea siulizi lakini huwa nalia sana machozi yakiisha tu na mimi nakuwa nipo okey nakuwa nimemsamehe wala hata sijui kununa mtoto wawatu mie...... nakaa kimya sana though inaniumiza sana wakati wa kulia
Kuna wakati nilikuwa nalia lakini nikajiuliza hivi kwa nini nilie....siku ya siku nikamwambia hili chozi ni la mwisho hutakaa uone chozi langu likitoka kwa ajili ya lolote usemalo au utendalo....na ikawa hivyo..