yuko njia panda

yuko njia panda

wewe mubaya huwezi hakuna mume wa mtu atakayekutaka lazima uwe muzuri na ili upewe hela lazima uwe classic

we mwanga nini,utaishia hivo hivo kuwa kidumu na kuinamishwa na hao waume za watu
na siku wake zao wakiziba hicho kikojoleo chako ndo akili itakaa mukichwa
 
mi naona fred anajishutukia kwa sababu umri wke mdogo na hana comfidence, huyo mbaba ni pesa tu na hana mapenzi ya kweli. ila money power. sasa km vp tulia umpate anayekupenda.
 
Haya ni MAJANGLESS ya mapenzi...

Hebu atulizane kwanza asikurupuke kuolewa mwishoe aje kupata kisingizio cha kudai talaka katikati ya ndoa buree... Maanake awachelewi.. Mara ooh moyo wangu haukumpenda nilipenda pesa au siwezi ishinaye tena yeye ni mdogo kwangu ananidharau na brra bra nyingiii... Shauri yenu nyie jidanganyeni na ndoa za wrong choice mje muwatese watotowenu baadae kama hampendi amwambie sasa ili achukue 50 zake...!
 
Wapendwa za asubuhi,
Kuna mama mmoja ni rafiki yangu kaniomba mchango wangu,ana Binti yake. Tumpe jina (Isha)ambaye ni mwalimu wa sekondari huko mkoani katika pitapita zake wakatokea kupendana na mwalimu mwenzake FRED lakini wa shule tofauti,ila yule mwenzie Fred ni mdogo kuliko Isha miaka mitatu nyuma ,isha amekua akimfuatilia Fred kwa kariBu ni mkarimu na anamjali ana roho nzuri,ila wakienda sehemu Fred lazima abaki nyuma lakini nyumBani ni mtu mzuri,akakutana na baba mmoja akamwambia mi nimekufatilieni sana na huyo mwenzako ila niamini ctaki kukuchezea nilishazunguka na ulimwengu hamna ambacho nisichokijua ntakupenda ntakujengea nyumba kwa sabaBu huyo baba ana watoto wake na Isha amekiri kweli anadeka kama mtoto kwa huyo Baba ,ila kinachomuuma Ni kuachana na fred ambaye isha anadai ni mkarimu na ana roho nzuri,afanye nini naombe utoe mchango wako

b.itches eh!! always after material things....haya bwana wacha tutulie pembeni vibabu vijizolee warembo
 
wewe mubaya huwezi hakuna mume wa mtu atakayekutaka lazima uwe muzuri na ili upewe hela lazima uwe classic

hapo nimekubali...bidada una point weye!!! ebu waambie bwana....mpaka ukamliki mume wa mtu u must be a classic lady bwana uzuri wa kweli sio ng'ong'ozo
 
Sijui anachotaka. Ningeongea na mwenyewe Isha ningemuamBia achague kitu roho inapenda ila kwa huyo FRED ningemuamBia awe makini sana kwani akipata agemate wake atabwaga au ataanza fanyiwa visa,huyo baBa mtu mzima hivyo na alishazunguka na dunia kama ndo gumegume ndo maana mpaka sa hizo hajaoa. Ningemshauri afikirie kwa kina. Sa kua nimeongea na mama isha yeye anamtaka baBa mwenye hela zake we unasemaje
 
ahahaaaaa dah
mbona hukunijibu tena ile pm ulisema utanipatia buzi linijengee nyumba rafiki?
:shock:
:shock::shock:
:shock::shock:
kwani fred hana pesa? walimu hawana mshahara?
:suspicious:
:suspicious::suspicious:
mwanamuke mubaya huna shepu huna sura unahongwa 40,000 zinakutosha unavaa mitumba unasuka zile nywele za masai

huyu ni Smile ama Kongosho?? mweeeh! bora King'asti na snowhite wenye ddreadlocks lolz!

ahaaaa yaani mpenzi wangu ni mzuri kama mimi...nipe no ya muna anipe mkorogo basi
kukunde iwa sha nguwe aaah! lakana na isembo elyi te...................

mmenifurahisha kwakweli nyie wapendwa wangu.
 
Last edited by a moderator:
mzabzab mzima lakini??
sasa unaona watu wanavyocomplie na theory zako??

btw tutaonana lini best??
 
Last edited by a moderator:
Eversmilin Gal..mambo!??

ni heri amchukue huyo baba kama kweli ana nia hiyo ya ndoa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom