yuko njia panda

yuko njia panda

ila ukweli watu tukubali tu kwamba sasa imekuwa ni hapendwi mtu inapendwa pochi.

hayo ndio maneno...na dada zetu basi msijifanye oh mie siwezi toa papuchi siku ya kwanza...kama jamaa kafika bei siku ya kwanza mpe tuu
 
hayo ndio maneno...na dada zetu basi msijifanye oh mie siwezi toa papuchi siku ya kwanza...kama jamaa kafika bei siku ya kwanza mpe tuu

sasa kama ni dada yako papuchu yake waitakia nini??
btw wakigoma sokota noti ya buku 10 iwe kama kasha la ice cream halafu ifanye papuchu.
 
Cyo business ila huyo baba anampenda na ameahidi kumtunza na yuko tayari Aende kwa wazazi

Ninashindwa kuamini kwamba kweli wewe Eversmilin Gal umeshindwa kutoa ushauri hapo...
Ukweli siku zote huwa una njia moja tu na upo so direct, deep down unajua kuwa huyo Isha anakosea...
Kwenye mahusiano yoyote, upendo hutangulia halafu mengine hufuata...
 
Last edited by a moderator:
vibinti vyenyewe vinaona raha kupangwa kwenye foleni kama viko NMB.
ahahaaa umenichekesha na foleni ya nmb...bwana siku moja nilikuwa naenda kikazi mkoa flani nikaambiwa hakuna benk nyingi huko so ili nisisafiri na hela nikafungua tempo a/c nmb ...aisee siku nimeenda pale nilidhani watu wapo ibadani ujue khaaa shida ziliniisha hapo hapo... nmb foleni ni nomaa
 
Hapana hakuna mapenzi ya kweli ila pochi tu! Huyo babu alikuwa wapi siku zote bila kuoa? Ujana alikula na nani?
 
umeanza kuvuta bhange siku hizi! enh!
shauri yako utakuwa huna akili kama mimi oh!

hapa kwan panahitaj kuvuta bhange bana???
panaonekana bila nguvu nyingi kutumika bana! wacha watoto wajipime kidogo maisha si ndio haya bana??
 
Mtani snowhite upo jamani?nimekutafuta sana for the last two weeks bila mafanikio.Mzima lakini?

nilikuwa nampikia Kaunga alikuwa kwenye saba!
ehehehehehe tugawane mafao ya mahari best!
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa nampikia Kaunga alikuwa kwenye saba!
ehehehehehe tugawane mafao ya mahari best!

Ha ha ha we acha tu mtani snowhite,hawa wanyamwezi wawili hawa hata sijui ni hiyo mizigo yao ya mbele na nyuma ndio inawatoa udenda hata sijui.Ila nimemwambia The Boss kwamba ndoa yao ni kwa raha tu na sio shida.Sasa dada Kaunga nae mara Paris mara sijui wapi...........lol,hata hiyo mahari sijapokea bado maana naogopa sijui wakigombana unyamwezi unakufa au vipi,yangu macho,maana the Boss nae kila kitu kidogo anataja talaka,lol
 
Wanawake walio weng tamaa ndio inawaponza nakutaka vitu vyabwelele ukweli nikwamba asimuache huyo kijana. Vingnevo atakuja jutia uamuzi wake hapo baadae.
Wapendwa za asubuhi,
Kuna mama mmoja ni rafiki yangu kaniomba mchango wangu,ana Binti yake. Tumpe jina (Isha)ambaye ni mwalimu wa sekondari huko mkoani katika pitapita zake wakatokea kupendana na mwalimu mwenzake FRED lakini wa shule tofauti,ila yule mwenzie Fred ni mdogo kuliko Isha miaka mitatu nyuma ,isha amekua akimfuatilia Fred kwa kariBu ni mkarimu na anamjali ana roho nzuri,ila wakienda sehemu Fred lazima abaki nyuma lakini nyumBani ni mtu mzuri,akakutana na baba mmoja akamwambia mi nimekufatilieni sana na huyo mwenzako ila niamini ctaki kukuchezea nilishazunguka na ulimwengu hamna ambacho nisichokijua ntakupenda ntakujengea nyumba kwa sabaBu huyo baba ana watoto wake na Isha amekiri kweli anadeka kama mtoto kwa huyo Baba ,ila kinachomuuma Ni kuachana na fred ambaye isha anadai ni mkarimu na ana roho nzuri,afanye nini naombe utoe mchango wako
 
sasa kama ni dada yako papuchu yake waitakia nini??
btw wakigoma sokota noti ya buku 10 iwe kama kasha la ice cream halafu ifanye papuchu.

hahaaa hili nalo neno........
dada zenu na papuchi zao mnataka....mue na adabu nyie vijana mzabzab
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom