Recent content by Evergreen

  1. E

    Jk ndani ya Arusha Wilaya ya Longido! Agawa ng'ombe wapatao 25,000/=, Imekaaje?

    Ukifanya Kazi ya Uhawara kwa muda mrefu lazima akili zipungue!!
  2. E

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Ha ha ha ha,Kweli Mkuu,hii ni kutaka misifa ya Kijinga!!
  3. E

    GE2015 Nimeipenda hii ya Mwigamba kwa Mwanakijiji

    Mwigamba hajafanya hila yeyote hapo dhidi ya MM,ni kujaribu tu kuwekana sawa kwa nia ya Kujenga tofauti na wewe unavyojaribu ku-suggest indirectly kwamba ni Mashindano!! No Hard Feelings!!
  4. E

    Dawa za kuongeza ukubwa wa mashine kwa wanaume, ni kweli au propaganda??

    Watu mnaodai kuwa dawa mnazo mbona mnakuwa wazito kuelekeza zinapopatikana,mna agenda gani?!! Kama jambo haulijui ni Vyema kukaa kimya!!
  5. E

    Lipumba Achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Uchumi wa Duniani

    Hivi mwenyekiti au Kinara wa Uchumi wa Dunia aliyetangulia kabla ya Lipumba anaitwa nani? Au kabla ya Lipumba Uchumi wa Dunia ulikuwa hauna Mwenyekiti? Kuwa mwenyekiti au Kinara wa Uchumi wa Dunia ndiyo maana yake nn?
  6. E

    Using PayPal and MoneyBookers with CRDB VISA Card

    Ndaga Fijo,It was one hell of an education!!!!
  7. E

    Meseji kali ndani ya INBOX...ICHEKI HII

    Mods ondoeni ths crap inajaza tu server,si lazima wote tuweke nyuzi hapa,wengine tusome tu na kusepa!!
  8. E

    Ladies. . . what's HOT, what's NOT?

    Intelligent,yes u are!!
  9. E

    Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

    Ha ha ha ha ha,Hakika,yaani hapo mtu unakimbia huku chupi Mkononi na Makelele mengi mithili ya hayawani aliyejeruhiwa katika Mbuga ya Serengeti! Nikimpata that type of a woman,NITAMFURUMUSHIA MAPENZI MAPENZI MPAKA ATAENDWA KULAZWA KWENYE WODI YA VICHAA!!! Love is All We Need,Cheeeeeers!!
  10. E

    Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

    Now,that is not being principled,that is another miscalculation u have made!! That is simply being arrogant and vindictive!! Alichokimaanisha Lizzy hapo ni kwamba sisi wanaume Tunapenda mwanamke atakayetusaidia kuona kile tusichokiuno,mwanamke who will help us read btwn the lines!! In other...
  11. E

    UMEME: Tanesco, Ngeleja OMBENI MSAMAHA Kwa KAKOBE

    Umesema Vyema,Kwa dhambi aliyofanya Adamu na Hawa,Wanawake wote na wanaume wote tunalipia mpaka leo until mtu ampokee Bwana Yesu!! Tatizo watu wanayaangalia mambo katika akili za kibinadamu!!!
  12. E

    UMEME: Tanesco, Ngeleja OMBENI MSAMAHA Kwa KAKOBE

    Mbona Elia aliomba na Mvua haikunyesha katika Israel Nzima kwa Miaka 3,Elia alikuwa nani na Kakobe ni nani? Au unadhani kizazi hiki hakina wakina Elia?!! "Wenye Haki wangu wataishi kwa Imani" Nenda Full Gospel kajifunze Neno la Mungu!!
  13. E

    Makomandoo wa Bongo

    Ndiyo,ni Makomandoo wa Kukwapua hela zetu!!
Back
Top Bottom