Recent content by EveJoe

  1. E

    JamiiForums Tanzania Which African teams have had the best jerseys?

    Up until 2021 here's how I would rank the jerseys of our African teams; Nigeria: The Nigerian national team's jersey has often been lauded for its unique and vibrant designs. The 2018 World Cup jersey, in particular, gained widespread attention and appreciation for its striking green and white...
  2. E

    JamiiForums Tanzania 2023 inakaribia kukata, michongo ya kutuboost ipo wapi?

    Tushaingia kipande cha pili cha mwaka 2023. Binafsi kuna malengo sijatimiza maana mifuko haijakaa poa kabisa. Mishahara haiongezeki ila majukumu sasa... dah! Kwa July hii michongo imejificha wapi aiseee
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yes, jackpots are legitimate in Tanzania. Jackpots are a popular form of gambling and can be found in various forms, such as lottery jackpots, casino jackpots, and sports betting jackpots. These jackpots offer participants the chance to win significant sums of money or other valuable prizes...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mapato Yanga yalikuwa Bilioni 17.8, matumizi Bilioni 17.3 chenji ni Milioni 500, Mmh!

    Inaonekana ushiriki wa Yanga kwenye mashindano mbalimbali imeweza kuwapa BIL 3.5. Yanga wametangaza kuwa na makubaliano na mabenki makubwa matatu kama NMB na CRDB katika huduma ya usajili wa wanachama kidigitali kote nchini. Kwa speed hii, wale wakubeti mwaka huu basi walivuna sana kama waliweka...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimewahi kukuhuzunisha sana?

    Mimi naona wangeweza kuendelea kumsaidia kwenye mambo ya maana kama elimu. Wangeweza kuchangisha au kuomba scholarship kwenye hiyo kampuni ya ndege.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuwa kama Dubai inawezekana?

    eh na kweli maana somehow china wameweka balance kati ya bei na quality kwenye bidhaa zao. Watakimbia hela aiseee
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuwa kama Dubai inawezekana?

    Hii ni valid point. na ina discourage sana sisi vijana hata kujaribu. Uthubutu wote unatutoka
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuwa kama Dubai inawezekana?

    kwa kkoo naona wahindi ndo wametawala sana na wachina. wabantu ndo wana biashara ndogo ndogo zaidi
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuwa kama Dubai inawezekana?

    Kwa DSM, Kariakoo ni sehemu kubwa na maarafu kwa kufanyia biashara. Uwezo wa kkoo kukuwa ni mkubwa kiukweli ila, miundombinu inakwamisha. Suala zima la nafasi, utulivu pamoja na usalama ndiyo linazingua. Kwa sasa bado watu wanafungiwa biashara zao sasa vijana watafanya nini? Ni kama vile...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Dada zetu kutokea Sudan wametingisha mitandao kidogo. Tena na hivi ligi zimepoa poa, amsha amsha sasa hivi zipo kwa hao warembo. Alafu kwenye kubeti sasa kuna michezo ya kuweka hela msimu huu kweli? Au ndo watu wakaushe mpaka ligi zitakaporudi?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Unaionaje show ya Mr Right?

    Juzi kati nilianza kufwatilia hii show, inanoga kuicheki ila concept yake mna dhani kweli watu wanaishia kuoana baada ya kukutana hapo? au wanaigiza tu? Kuna upendo hata?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kipi kati ya Shule au Dini kina uzito zaidi kwenye malezi ya watoto?

    Kati ya vitu hivi viwili, unadhani kitu gani kina uzito zaidi kwenye malezi ya watoto haswa kwa karne hii? Mambo ni mengi mno. Kuna haya mambo ya LGBTQ, kuacha kusoma ili kufanya biashara... ili ku"trade" au kubet.... wazazi wa sasa na watarajiwa wawekeze nguvu wapi sasa?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Teaching Allowance

    Mama yetu mpendwa amekiri kwamba walimu na sekta ya afya wana umuhimu mkubwa sana katika nchi hii. Kwa maana hiyo sasa kwenye suala la posho wanafikiriwa. Sasa nawaza, kwa sisi vijana ambao tunafundishana vitu mbalimbali tuanze kudaiana allowance pia au tuendelee na ukarimu wetu tu?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Kama tunavyojua, VP wa Marekani ameshatua Tanzania. Je, tutegemee kitu gani kutoka safari hii?
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea

    Yaani ukiachana na kuchapwa bao moja, ilikuaje umeme ulikata? Sasa hii hali kweli walikuwa hawajajipanga tangu kipindi cha ujenzi? Hizi ni changamoto za kuzingatiwa mapema ili kuepuka tafrani na aibu ... dah haikuwa poa aiseee
Back
Top Bottom