Teaching Allowance

Teaching Allowance

EveJoe

Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
26
Reaction score
53
Mama yetu mpendwa amekiri kwamba walimu na sekta ya afya wana umuhimu mkubwa sana katika nchi hii. Kwa maana hiyo sasa kwenye suala la posho wanafikiriwa.

Sasa nawaza, kwa sisi vijana ambao tunafundishana vitu mbalimbali tuanze kudaiana allowance pia au tuendelee na ukarimu wetu tu?
 
😂😂Inabidi tujue kwanza hiyo allowance aloongeza ni shingapi.. uskute ni buku jero👀
 
Inabidi tujue kwanza hiyo allowance aloongeza ni shingapi.. uskute ni buku jero
Huyo mama hajui, atayumbishwa na madai ya kada mbali mbali kama mzee ruksa. Hakuna taaluma muhimu, umuhimu ni pale inapo hitajika. Wengi huwadharau wazibua vyoo, ila siku choo kikiziba ndio utawatafuta kona zote. Ng'ombe hajui thamani ya mkia wake mpaka utakapo katika.
 
Back
Top Bottom