Recent content by EVAROST JOHN

  1. EVAROST JOHN

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Geita Bukombe nije Njombe au Iringa idara ya secondary. Nitafute kwa no. 0753124939
  2. EVAROST JOHN

    Mashine ya kuangulia mayai

    Asante wadau ngoja niwachek
  3. EVAROST JOHN

    Mashine ya kuangulia mayai

    Wadau! Hivi naweza pata mashine ya kuangulia mayai isiyotumia umeme!
  4. EVAROST JOHN

    Dr. Francis Michael: msisahau tuna wajumbe 8 Saudi Arabia kutimiza 2/3 Zanzibar

    Huyu jamaa sijajua alikua bungeni kwaajili ya nani!
  5. EVAROST JOHN

    Wakati wa Mavuno kwa 'Wasomi' wa Tanzania

    Hatujachelewa vijana, let's stand tuwaokoe mama zetu kule vijijini tuache kupelekwa kama roboti au tv inavyoendeshwa na remote. Wakati ndo huu kuonyesha uzalendo.
  6. EVAROST JOHN

    Sauti Ya Wengi Ni Sauti Ya Mungu - Mama Lwakatare

    Sioni sababu ya kusema sauti ya wengi wakati wanaoongea hivyo ni kundi la watu ambao tunaweza kuwaita noble class wakati majority ndo wenye shida. Wanaongea bila hata kumwogopa mungu. Wanatumia jina la mungu kujineemesha wenyewe!
  7. EVAROST JOHN

    CCM kukodi wanaojiita wasomi kutetea hoja za CCM ni kudhalilisha elimu zao!

    Tatizo hata wasomi waliotakiwa kulikomboa taifa lao kwa kuwaelimisha wengine wamekuwa wachumiatumbo.
  8. EVAROST JOHN

    Nalaani tamko la mwanafunzi wa DUCE katika vyombo vya habari

    Nani kakwambia wanavyuo wote. Huyo mmewahoji eanavyuo wangapi!
  9. EVAROST JOHN

    Mzimu wa ASP ulivyobadili msimamo wa JK katika dakika ya 90.. juu ya Serikali 3.

    Mh! Ila itafahamika usiku utakapokwisha!
  10. EVAROST JOHN

    Watu 20 wafa ajalini Busega

    Poleni wahanga!
Back
Top Bottom