Recent content by Evarm

  1. Evarm

    JamiiForums Tanzania Asanteni Morogoro kwa mapokezi mazuri

    TRC ilikuwa na kazi ya kuleta wanafunzi na watoto siku nzima ili kuijaza Morogoro watu wajae.
  2. Evarm

    JamiiForums Tanzania IPTL yabwagwa mahakamani Sh100 bilioni za Escrow

    IPTL ni nani huyu? Natamani kumjua sana
  3. Evarm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huyu dada anawezaje kuwa na "Kipapiro" fresh all the time. Nikimuuliza anasema kawaida tu

    Naona Chizi Maarifa umekuja kunitangaza humu. Kuanzia leo sikukubalii uguse tena kipapiro changu.
  4. Evarm

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mbolea bora msimu huu wa kilimo

    Natumia samadi ya ng'ombe na mbuzi. Haina gharama na inadumu shambani balaa. Mahindi yangu ya kijanii Hadi raha. Karibu turudi edeni
  5. Evarm

    JamiiForums Tanzania Leo nimepata heart breaking ya hatare

    Kazi ipo Poor Brain
  6. Evarm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya tendo akasema namchafua!

    Humfikishi kileleni, unakojoa na linalegea wakati Bado Binti anataka apelekewe motoooooo
  7. Evarm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Popote utakapo muona huyo ni mke wangu mwambie namtafuta

    Nipo hapa nimejaa tele kama pishinla mchele
  8. Evarm

    JamiiForums Tanzania Who is your JF buddy? Ingawa haujawahi kumuona ila humu ndani ni mtu wako wa nguvu

    Eiyer sijui uko wapi rafiki?
  9. Evarm

    JamiiForums Tanzania Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Eeeeh Baba wa mbinguni, Fanya jambo kubwa kwenye uchaguzi huu 2025.
  10. Evarm

    JamiiForums Tanzania Liquid Asset (FD, Bonds, UTT) v/s Fixed Asset (Nyumba ya Kupangisha)

    Makato yapo sana, yapo kwenye maintenance ya nyumba maana Kuna baadhi ya wateja ni wachafu sana, hivyo kabla hajaja mteja mpya unatakiwa uifanyie repair nyumba yako
  11. Evarm

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wangu ametapeliwa bidhaa zenye thamani ya Tsh. 300,000 Goba njia nne kwenye sheli

    Yawezekana pia amekunyoosha huyo mfanyakazi wako. Mimi hilo deni angelipa huyo mfanyakazi maana hajafuata maelekezi yangu niliyompa
  12. Evarm

    JamiiForums Tanzania Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?

    Mji mzito huu. Mungu saidia Tz ni yetu sote
  13. Evarm

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Fao la Kukosa Ajira Tanzania (Unemployment Benefit)

    Mkuu Nina miaka 13 kazini, statement yangu Ina miezi mingi tu yaani 13×12
Back
Top Bottom