Recent content by Evance2006

  1. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

    Kwa mwendo huu...... Kwan nn polisi akipiga raia haisound sana lkn raia akimpiga Askali kelele kibao!!!!!! Mm uongo mbaya kama mm sijaumizwa na tatzo lolote zaidi niwape pole familia za waliopoteza wapendwa wao...... Kila siku SUMA JKT inapiga watu na kuua huku Arusha lkn hakuna response leo...
  2. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Evance2006

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    Tatizo watanzania wengi njaa inatusumbua!!! Tume iliundwa lini.... Hebu jiulize kwa nn huyu anaejiita Jerry Muro hakutoa maoni yake hayo wakati tume haijaundwa au wakati inafanya kazi!!! Kwa nn alete ushauri wake baada ya tume kuleta report?? Moja kwa moja huyu kanunuliwa!!! Anataka kupotosha...
  5. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Hizi zaweza kuwa sababu zinazomfanya Makonda aendelee kuwa RC Dar

    Mpe salamu zake huo Rais mwambie hicho cheo kuna watu walimpa na sio kuwa alikiokota Barabarani!!!!! So asijisahau
  6. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Hizi zaweza kuwa sababu zinazomfanya Makonda aendelee kuwa RC Dar

    Mm sina chama but I can say this...... Hv ww unadhani nani ana shida na cheo cha BASHITE?? Kwani swala la vyeti feki limeanzia kwake?? Au walioliibua ni BAVICHA?? Sikiliza mkuu..... Tatizo lenu mnadhani kuna mtu ana shida na ukuu wa mkoa au wa Wilaya.... Swala hapa ni vyeti feki...
  7. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Uvamizi Clouds: Mkuu wa Mkoa, Nape, Clouds Media na kamati ya Nape wana makosa

    Unajua protocol ww??? RC atakuwaje sawa na waziri???? Na Nape amekosea nn hapo!!! Kipindi kile yule mwalimu wa field alipompiga mwanafunzi wa Mbeya day kwa nn waziri wa Elimu aliingilia, kwa nn waziri wa Tamisemi aliingilia, kwa nn waziri wa Mambo aliingilia, mkuu wa mkoa, na mkurugenzi wa...
  8. Evance2006

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi haya! Nimeenda kwetu kujifungua kurudi namkuta na mwanamke mwingine

    Fact!!!! Maana hii kitu ya kufanyia maamuzi taarifa ya upande mmoja ndo imewafikisha clouds hapa
  9. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

    That's why watanzania wengi hatuendelei!!! Kazi kujadili mafanikio ya watu wengine tu!!! PAMBANA NA HALI YAKO!!!
  10. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Ww kama umetumwa kumsafisha makonda umefail mkuu...... Kwa hyo hao watu ndo walimtuma makonda aende kuvamia Clouds???? Useless story shut up!!! Sijui watu wengine mnafikiria kwa kutumia nn!!! Ndo kusema kwa akili zako timamu anakufurahisha kwa matendo yake huo ndg yako BASHITE wafanyakazi...
  11. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, elimu yangu kidato cha sita

    Dah!!! Kama form four failure anakuwa mkuu wa mkoa...... Ww na form six yako unaweza kuwa hata waziri mkuu
  12. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Kulamba na kunyonya sehemu za siri za Mwanamke kuna madhara makubwa kiafya

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Evance2006

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Dar lakusanya milioni 840 kwa faini ya makosa mbalimbali ya barabarani kwa wiki moja

    Sio inaweza ila ni moja ya vyanzo vya mapato......
  14. Evance2006

    JamiiForums Tanzania GPA za chuo zinapatikana vipi

    [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Back
Top Bottom