Masomo yametofautiana unit. Mfano masomo yapo 8 kila moja na unit yake, basi unachukua alama uliyoipata Kama ni A inakuwa na 5. Hivyo unit x alama halafu unakuja kugawa Kwa total units za jumla ya masomo. A=5 ,B+=4,B=3,C=2,D=1
sasa somo likiwa na unit 2 na umepata A, Chukua 2x5=10 jingine labda B+
Unit yake 3x4= 12 jingine labda A
Unit yake 3x5= 15 jingine labda A
Unit yake 2x5= 10 jingine labda B+
Unit yake 4x4 = 16 jingine labda C
Unit yake 4x2 = 8 jingine Labda B+
Unit yake 4x4 =16 jingine labda A
Unit yake 2x5 =10
Total units ni =24
Total units and marks=97
Gawa 97/24=4.04(GPA)now hiyo ni semester 1 fanya hivo kwa semester zote. Then jumlisha na utafute average.