Recent content by Evagrace

  1. E

    Natafuta mchumba mwanaume

    Wana JF namimi natafuta rafiki wa kiume kwa lengo la kuwa na mahusiano yenye kuelekea uchumba. WASIFU WANGU UMRI:30 DINI:MKkristo ELIMU: Degree ya kwanza KAZI:Mwajiriwa NAPENDELEA:Kuangalia movies, kusikiliza nyimbo/ kusoma tenzi zake na kusafiri. NAYEMTAFUTA UMRI:Kuanzia miaka 34 na...
  2. E

    Eee mungu nisaidie

    Pole sana sana sana. Kama unapenda kuimba inasaidia kidogo, uimbe kwa sauti hadi upate relief. Fanya hivyo kisha malizia kwa kuvita pumzi kubwa ndani na kuitoa taratibu. Ila chonde chonde usisikize nyimbo za slow na blues. Utaongeza majonzi
  3. E

    Suluhisho ni Lipi?

    Mi nimegundua ukiziondoa zawadi na vitu ambavyo vinaweza kukumbusha huyo mtu inasaidia kiasi. Yaani kama kwa kuvigawa au kutupa alimradi tu usiwe na kitu kama perfume juu ya meza ambayo unaiona kila saa. Pia ilinisaidia nlipofuta emails zake zoooote maana zilikuwa zinaniongezea machungu tu...
  4. E

    JF hasa MMU imewafanya vijana wengi waogope kuoa/kuolewa

    Nakweli hata mi naona hili ni tatizo. All in all your own attitude towards a relationship matters.
  5. E

    Napata hofu Juu ya hili!

    Ilipaswa muende pamoja ili mpewe hayo majibu pamoja. Kwa case yako hata akipewa majibu yeye ni positive hutakua na jinsi ya kujua..
  6. E

    Mbona Mpenzi wangu haweki picha yangu kwenye Profile yake?

    Ni maamuzi yake. Ila kama anaweka ya msichana au mkaka mwingine ndio inakua shida. Tupunguze hizi stress yaani sababu mtu ni mpenzi wako ndio hadi profile aweke picha yako? My phone; my decisions.
  7. E

    Demu wangu kaniibia buku 5

    Labda kaichukua afu kaenda kununulia vitafunwa
  8. E

    Inaniuma saana

    Aisee haya ni majanga. Worry out. There is a light at the end of the tunnel
  9. E

    Whatsapp..... mahusiano yangu yako matatani, kisa picha toka whatsapp....

    Sasa hata baada ya huyo dada kukutumia hiyo picha na kama hukupenda ; kwanini hukuifuta? Galfriend amesema umwache kwasasa atakutafuta akishakaa sawa. Naona amekupa nafasi ya kupanga maneno yako pia amejipa nafasi ya kupunguza hasira. Usifanye kosa la kusema uongo siku akikutafuta maana itakula...
  10. E

    Hataki tusahau yaliyopita!!

    Sasa atapendaje kukuburuza kama wewe hupendi kuburuzwa?
  11. E

    Kwani shepu ni makalio na hips tuu...!?

    Hahaa jamanii. Sa kuna shepu gani mikononi? Mi navyojua mwanamke mwenye sura nzuri wanasema ni mzuri bhaasi. Na akiwa na mguu mzuri watasema anayo miguu mizuri au guu la bia etc. Na mwenye shepu anashepu tuu akiwa na sura nzuri pia watasema "ni mzuri huyo afu ana shepu". Shepu ni lile umbile na...
  12. E

    Thank you God

    Happy birthday mdau. Uwe na siku njema. Mshirikishe Mungu katika yote na utafanikiwa
  13. E

    Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

    Veri truu. Wanaume kubalini mabadiliko. Sote tunahangaika huko vibaruani kujiendeleza. Mkitupenda msiangalie hayo mambo
  14. E

    Naumia sana; nifanyeje?

    Asante ndugu.
  15. E

    Naombeni ushauri kuhusu tabia ya dada yangu

    Binti una bahati sana. Hongera kwa uamuzi wa kuolewa. Naona kuwa mahusiano yako na ya dada yako inabidi yaheshimike no matter tabia zake hizo. Nahisi anasumbuliwa na upweke na anaona ueye anastahili kuolewa kabla yako sababu ni mkubwa. Wewe endelea na mipango yako. Lakini ni vyema pia...
Back
Top Bottom