Suluhisho ni Lipi?

Suluhisho ni Lipi?

Everything has time to heal, no matter how bad your heart may be broken
 
kikubwa ni kuwa mwangalifu tu na safari ya mbele ili usikutwe na yaliyokukuta nyuma
 
Habari wapendwa wooote humu ndani......
Natumai wote tuko kamili saaanaa kama unastress ni kitu cha kawaida ..

Nimegundua, wengiii tunatatizo la kukata tamaa pale tunapowapoteza wale tuliowapenda sanaaa ( wapenzi na dearest wake/waume zetu) na kuhisi hakuna atakaye tokea kama yeye.

Hapo unatokea mtawanyiko wa watu sasa,
1.kuna wale wanaingia kwenye mahusiano mengine kwa kulipa kisasi alichofanyiwa na mtu aliyempenda kwa dhati.Hii huishia kuwaumiza wengine wasio na hatia.
2.kuna wale wanaoamua kuoa/kuolewa kwajili ya kujikinga kutoumia/kumkuta kama yaliyopita.
3.Anaamua kujizira kwa maana anaingia kwenye relationship 100 ndani ya wakati mmoja.
4.kuna sisi ambao we dont feel love kabisaaa mpaka watu wa karibu wanahisi mtu unafanya uchaguzi sana kumbe no affection.
5.kuna wale wanaojikuta wanajiingiza kwenye tabia tofauti kama, alikuwa si mlevi akaamua kupiga gambe la hatari na kujikuta akipoteza uelekeo kabisaaaaa...

Kama kuna niliowasahau naomba mnisaidie kuongezea hapo...
Nyie mliosimama kwenye mahusiano/ndoa zenu na sie wahanga hebu tusaidiane mawazo..
Nini cha kufanya pale unapokuwa umeumia/umeumizwa....ulimwacha mtu unaempenda na kujikuta unaangukia hapo/uliacha...

Let us be serious on this....tusaidiane.

Unayejua huna comment tafadhali soma na kaa kimya sipendi kwenye ishu serious kuleta utani/mawazo ya hafifu.
Div 6 not needed here.

Mi nimegundua ukiziondoa zawadi na vitu ambavyo vinaweza kukumbusha huyo mtu inasaidia kiasi. Yaani kama kwa kuvigawa au kutupa alimradi tu usiwe na kitu kama perfume juu ya meza ambayo unaiona kila saa.
Pia ilinisaidia nlipofuta emails zake zoooote maana zilikuwa zinaniongezea machungu tu.
Ila juu ya yote time is still the best way of healing such situations.
Vaslay yamekukuta ndugu? Pole sana
 
Pole sana my..mimi ilitokea muda sana and i moved on ila ni kitu ambacho nimeona kizuri kukibandika hapa coz wahanga ni wengi
 
Uliachwa kwa sababu gani?...huwezi kuachwa tu bila sababu labda uligawa nje au hukutimiza majukumu yako...unabaki kukumbuka wakat mwenzio kasahau hata kama upo duniani
 
Uliachwa kwa sababu gani?...huwezi kuachwa tu bila sababu labda uligawa nje au hukutimiza majukumu yako...unabaki kukumbuka wakat mwenzio kasahau hata kama upo duniani

Hahahaha mkuu huna huruma
 
Uliachwa kwa sababu gani?...huwezi kuachwa tu bila sababu labda uligawa nje au hukutimiza majukumu yako...unabaki kukumbuka wakat mwenzio kasahau hata kama upo duniani

yaan wewe nadhani ndo unayaanza mapenzi....
unadhani kuumia ni lazima kuachwa tu??
Pole maana unasafari ndefu ya kuwa na utambuzi.
 
Mkuu dizain za namna hii majanga sana kaa mbali
 
Back
Top Bottom