mara nyingi anafanya yeye tunazungumza yanaisha, pia nikikosa tunazungumza yanaisha, lakini ya awamu hii alianza yeye nikaongea weee mpaka nikachoka, nilichoamua ni kua mimi nije kivingine kama sehem ya kumfanya alitambue kosa lake lakini amegoma na kuamua hivi alivyoamua.
kwa ufupi anapenda kuniburuza, sielewi ni kwa kua kanizidi miaka kadhaa au ni malezi ya kwao kuburuza mwanaume.
mahaba niue hayo. Yaani akise yeye msamaha uombe wewe lohhh.
Sasa atapendaje kukuburuza kama wewe hupendi kuburuzwa?
hahahahah kiwatengu umeniacha hoi kwa kicheko,kwahyo siye wanawake ndo tunatakiwa tuwe soft copy? Afu nyie hardcopy eh? Hujawah kukutana na mahaba niue nin?kwel mapenz hayana formular..!mi nilidhani wewe ni mwanamke, kumbe ni mwanaume/ yaani kosa afanye yeye msamaha uombe wewe?
duh!! duniani kuna wanaume soft copy kweli!
mara nyingi anafanya yeye tunazungumza yanaisha, pia nikikosa tunazungumza yanaisha, lakini ya awamu hii alianza yeye nikaongea weee mpaka nikachoka, nilichoamua ni kua mimi nije kivingine kama sehem ya kumfanya alitambue kosa lake lakini amegoma na kuamua hivi alivyoamua.
kwa ufupi anapenda kuniburuza, sielewi ni kwa kua kanizidi miaka kadhaa au ni malezi ya kwao kuburuza mwanaume.
ugomvi wenu wa mwisho ulikuwa juu ya nini?
sawa,asipojirudi itaashiria nini?
duuhh, pole sana. Hapo si pakubaki mkuu, we kaza mwendo usonge mbele.Yani mkuu, we acha tu. mimi nikikosa naomba msamaha yaishe tuendelee na safari, akikosa yeye kukubali kosa tu ni ishu. analeta zile za HAWA wa ADAM baada ya kula tunda aliulizwa umefanya nini badala ya kujibu alichofanya yeye akajibu "sio mimi ni nyoka alinidanganya nikala".