Recent content by Eva Mushi

  1. E

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Sad news; Ila Mungu wetu ni mwema na mwenye haki: atampatia uponyaji Wa haraka Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kushuka kwa Bei ya Mafuta nchini

    Kama tulifuatilia Budget kwa makini ; anachoongelea Mhe Halima ni sahihi; kwani kama bei za petrol na diezel zilionekana kodi kuongezeka kwa Sh 40, ni wazi kuwa kuanzia July ingepaswa kuongezeka; lakini kwasababu ya baadhi ya wabunge hasa upinzani kutokuunga hill ongezeko kwenye mafuta; badala...
  3. E

    Mtoto wangu tangu amezaliwa hafumbui macho wala hatikisiki

    Mi nashauri aendelee kupatiwa huduma hapo hospital, ataendelea kurecover Slowly ingawa sijui hio hospital uwezo wake Wa kimatibabu ukoje, kuna specialist wa Watoto/Daktari wa watoto? ingekuwa vizuri akamuona Huyo mtoto; Na wakati mwingine pia wanashindwa kutoa referral kama chanzo cha tatizo...
  4. E

    Mtoto wangu tangu amezaliwa hafumbui macho wala hatikisiki

    Referral Mara nyingi inatolewa kama hospitali aliolazwa hawana uwezo Wa kumtibu; ila kama mtoto hukulia Mara baada ya kuzaliwa, au alivutwa kwa kutumia vifaa maalum au mama alipata uchumngu Wa muda mrefu ambao ulisababishwa atolewe kwa kuvutwa; inawezekana aliumia ubongo (damage of immature...
  5. E

    Mke wangu amepanda cheo, ananidharau

    Kwani huyu anayelalamika kadharauliwa ni mwanaume Wa kabila gani? Au nae ni Wa kichaga? Na tabia za wanawake Wa kichaga ni Zipi?
  6. E

    Mke wangu amepanda cheo, ananidharau

    Hii ni inferiority unaionyesha, na kamwe haitaijenga ndoa yenu; inawezekana wewe ndio unaanza mjengea mtazamo hasi, baadala ya kumpongeza na kumtia moyo; kukopa bank bila taarifa inaelekea amani kwenu haipo tena kila MTU anajiamulia mambo yake;
  7. E

    Bila kusoma masomo ya sayansi huwezi somea unesi, Maabara, Udaktari

    Yaani MTU asome biology, somo moja la science akasome MD, nurse au pharmacy? Tuelewe maana ya kusomo haya masomo ya science, ni pia kuanza kumjenga na kuangalia uwezo wake ktk hayo masomo na kozi atakayoenda kusoma, ndio maana ukipata A ya biology chemistry na physics ukafeli, huwezi kusoma MD...
  8. E

    Hii shahada ya special Education inapatikana chuo gani?

    Tunapata Elimu tuweze kuwa na skills an knowledge za kupambana na changamoto zinazotukabili, wewe uliyesoma Elimu maalum unayo mengi ya kufanya pale ulipo, unaweza kuanzisha kitengo kama hitaji lipo
  9. E

    HESLB yafafanua vigezo utoaji mikopo, Waliokosa sababu zatajwa, wapewa nafasi ya kukata rufaa

    Nilivyoelewa ni kuwa idadi ya hawa 5000 zitatokana na wale watakaokata rufaa, na wale ambao hawajahakiki taarifa zao
  10. E

    Bodi ya mikopo yakamilisha uchambuzi wa maombi ya mikopo, 20,183 wapata kati ya 88,163 walioomba

    Taarifa nyingine tuzihakiki ili tusiipotoshe jamii, nimechachia bila kwenda kwenye web ya Heslb, hio idadi ya elfu 20 na zaid ni ya walioongezewa, jumla ya waliopata mkopo ni laki 113 na zaid jamani, ukicheki kwenye web yao utapata figure sahihi
  11. E

    Bodi ya mikopo yakamilisha uchambuzi wa maombi ya mikopo, 20,183 wapata kati ya 88,163 walioomba

    Yaani kwa jinsi walivyopandisha grading za kuingia vyuo vikuu, TCU wametoa selection ya wenye sifa, Leo mkopo unatolewa kwa wanafunzi wachache, halafu baadaye Tanzania tunategemea kuwa na wataalamu wa kutosha kweli?hivyo viwanda vitajiendesha bila wataalamu? Kweli tunapoelekea ni hatari
  12. E

    Msaada kuhusu kozi bachelor of prosthetics and orthotics

    Hii kozi inahusiana na viungo bandia, wahitaji wa viungo bandia ni wengi tatizo ni upatikanaji wa material za utengenezaji wa hivi viungo bandia ndani ya Tanzania ambao umesababisha gharama za viungo bandia kuwa juu, kumudu gharama zake ni changamoto,na hospital nyingi za serikali zimeajiri Hawa...
  13. E

    Ushauri kwa mliochaguliwa vyuo vikuu

    Na wasisahau pia kumshirikisha Mungu ktk maisha yao, changamoto ni nyingi sana huko vyuoni, kuweza kuzikabili ni kumuomba Mungu na kusoma kwa bidii na pia kushiriki ktk michezo mbalimbali kuepuka vishawishi
Back
Top Bottom