Du mkuu mbona apo sasa wana kosea sanaHiyo Ukiisoma Baadaye Kwenye Ajira Huwa Wanakupeleka Popote Tu Bila Kujali Ulisoma Elimu Maalum Kwa Wanafunzi Maalum.
Serikali Ya Viwanda Sijui Hata Kama Wanalijua Hili
Nina Jamaa Yangu Kamaliza Udom Degree Yake Hiyo
Kapangiwa Mnanila Buhigwe Huko Na Shule Siyo Ya Watu Wenye Mahitaji Maalum
Acha uongo mkuu wana shule zao hawa na vyuo vyao ni vichache sana tz.Hiyo Ukiisoma Baadaye Kwenye Ajira Huwa Wanakupeleka Popote Tu Bila Kujali Ulisoma Elimu Maalum Kwa Wanafunzi Maalum.
Serikali Ya Viwanda Sijui Hata Kama Wanalijua Hili
Nina Jamaa Yangu Kamaliza Udom Degree Yake Hiyo
Kapangiwa Mnanila Buhigwe Huko Na Shule Siyo Ya Watu Wenye Mahitaji Maalum
NdiyoHV YA EARLY CHILDHOOD NA YA SECIAL NEEDS SI IPO UDSM? NATHANI PIA ZINAHUSIANA NA HIZO