Hicho kimekuwa ni kipengele cha kumfanya mtu ashindwe kuweka bayana umri wake pindi happy birthday yake ifikapo,
Na endapo atataka kugombea nafasi za ajira ndipo hutaja,
Huo ni uoga tu "ukijilinganisha sana utaumia mno"
Habari wanajukwaa.
Naombeni msaada wenu Kwa anayejua hili tatizo ambalo lipo kwenye laini yangu ya Vodacom
Mara kadhaa kwenye simu yangu nasikia inasema
Samahani namba unayopiga haipatikani Kwa sasa tafadhari jaribu tena baadaye,
Baada ya muda tena inajirudia hivyohivyo,
Wakati mwingine...
Pamoja na hayo, mimi huwa sipendi kabisa mtu ananipigia simu naitika halafu yeye ananitaja jina langu,
Haitoshi tena anauliza uko wapi?
Kwakweli Mimi maswali hayo huwa siyajibu kama anavyotarajia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.