Recent content by Eumed15

  1. Eumed15

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  2. Eumed15

    JamiiForums Tanzania Wadudu na wanyama wakifa huwa wanaenda wapi?

    Wewe meno mavumbini unalielewa vipi
  3. Eumed15

    JamiiForums Tanzania Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

    Uwezo wako wakutafakari ni mdogo ndugu mwandishi kwa maana kuna wanasayansi wengi tu hawaamini Mungu wala uwo ukristo wako, mfano Jerry Coyne — evolutionary geneticist na professor wa University of Chicago. Brian Cox — physicist wa University of Manchester; ameeleza msimamo wake wa kutokuwa na...
  4. Eumed15

    JamiiForums Tanzania wana JF waislam mtusaidie tukate mzizi wa fitna, je ni kweli tangu mkiwa wadogo mlifundishwa na wazazi, madrasa, au misikitini kutuchukia wakristo ?

    "Na hakika utawakuta walio karibu zaidi kwa mapenzi na walio amini ni wale wanaosema: 'Sisi ni Wakristo.' Hiyo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na watawa, na kwa sababu wao hawatakabari."
  5. Eumed15

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Nipo kwa kigoda na msubiri Katuga akimhoji Heche
  6. Eumed15

    JamiiForums Tanzania Dunia ilikuwaje kabla ya uhai?

    Kwenye story kwa 70–85% kisayansi ni sahihi ila kuna mambo umepamba ili kuvutia (dramatic storytelling) pia baadhi ya vipengele ni nadharia bado, si facts kamili Kwa kifupi: Dunia ya mwanzo haikuwa rafiki kwa uhai wa leo, lakini haikuwa “kuzimu halisi” kila sehemu muda wote kama ulivyoeleza.
  7. Eumed15

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Maiti inayotembea

    Navuta kiti kukusubiri
  8. Eumed15

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume usinunue ng'ombe Kijiji ulichotoka

    Ujumbe hauna uhusiano na ng'ombe
  9. Eumed15

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 Niliyoyaona leo Azam vs Simba Uwanja wa Amani

    Kinaonesha alichoandika ni pumba
  10. Eumed15

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Siioni Simba ikipata ushindi mbele ya Azam

    Njoo utupe ushuhuda kuhusu utabiri wako
Back
Top Bottom