Recent content by etum

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu?

    LENTA NDOGO NDO IPI HIYO?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta matairi bora

    Top 10 ya matairi bora duniani 2019 (branddirectory.com) 1. Michellin (France) 2. Pirelli (Italy) 3. Continental (Germany) 4. Goodyear (USA) 5. Cooper (USA) 6. BF Goodrich (UK) 7. Dunlop (USA) 8. Bridgestone (Japan) 9. Yokohama (Japan) 10. Hankook (South Korea) makampuni haya huwa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Pesa ya kutuma mpaka bukoba itakuwa kiasi gani mkuu (kutoka hapo ulipo)
  4. E

    JamiiForums Tanzania MADA: Fahamu kuhusu matumizi au ulaji wa mafuta kwenye gari aina ya Toyota harrier 3.0L (2990CC)

    hii mashine vipi ndugu zangu, rav 4 mwaka 2006
  5. E

    JamiiForums Tanzania TOYOTA RAV 4 3rd Generation

    Habari wakuu!!! Mwenye kujua mazuri na mabaya juu ya hii gari hasa ya mwaka 2006 au 2007 aweke hapa tafadhali, baada ya kutumia gari ya chini ya kwa mda mrefu nataka kuhamia sasa kwenye gari ya juu kidogo (SUV) na katika pita pita zangu nimependezewa na hii generation hii ya toyota rav 4. Sasa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Je ni kweli Joseverest ulipoteza kazi siku za hivi karibuni mpaka ukapotea JF
  7. E

    JamiiForums Tanzania Keith Sweat Vs R Kelly

    Du umenikumbusha Lionel RICHIE pia. Great Mention
  8. E

    JamiiForums Tanzania Keith Sweat Vs R Kelly

    Well said brother na mimi nashangaa kwa nini watu wanamchukulia poa sana Keith Sweat. Nimependa hiyo list iliyoitoa hapo juu umenikumbusha nguli Bobby Brown huyu jamaa alitisha sana enzi hizo ila umemsahau Luther Vandross
  9. E

    JamiiForums Tanzania Keith Sweat Vs R Kelly

    Pia No Body na How Do I like it aliyomshirikisha Left Eye bonge la track aisee
  10. E

    JamiiForums Tanzania Keith Sweat Vs R Kelly

    Joe Thomas alitikisa pia miaka ya 90s, hawa watu wamepotea kabisa
  11. E

    JamiiForums Tanzania Keith Sweat Vs R Kelly

    Du? Brother Keith Sweat humjui? Any way lets celebrate both
  12. E

    JamiiForums Tanzania Keith Sweat Vs R Kelly

    Wale wapenzi wa classic RnB music hasa miaka 1990s, kati ya hawa nguli nani ulimkubali zaidi?? Nafahamu wote walikuwa wakali na wenye vibao hatari sana Baadhi ya nyimbo bora za Keith Sweat 1. Twisted 2. No body 3. How do you like it 4. Make it last forever 5. Why me Baby 6. I 'll give all my...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

    Ukinipa TSH 600,000 nakuachia maana nimeitumia kama wiki 3 hivi
Back
Top Bottom