Maoni yangu hayajakaa kisheria.
Ni hivi mkuu, kama ni mwanao wa kumzaa na background yake kiakili yuko vizuri, yaani hana tatizo lolote la kiakili basi fanya kama umetoa SADAKA, mwache akapambanie kombe lake!
Ni uoga tu na upeo mdogo wa viongozi wa ccm, huku baadhi yao wakitumia bangi kama vibrurudisho vya kawaida tu.
Hizo pesa za ufisadi na tozo jengeni walau hata viwanda viwili,3 vya kuchakata bangi na kuuza nje ya nchi, ikiwa mmeweka sera nzuri kumantain soko..muwa 'accommodate 'vijana.
Sio kila...
Furauni, Mussolin , Hitler, Idd Amin Dadaa, Mobutu nk mpaka leo wanasemwa iwe kwa mazuri au mabaya sembuse Magufuli ..bado anasemwa, na atasemwa sana tu.
Mambo mengine tuwaachie wenyewe wanafamilia.
Wale 'wambea' na 'waandishi makanjanja ' ili wauze viblog vyao uchwara wasubiri matukio ya mahakamani.
Maana naona hii mechi itaenda mpaka dk 30 za nyongeza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.