Recent content by etton1999

  1. etton1999

    Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Kama amelinunua kwa fedha zake muacheni tu maana huenda haoni kwa uzao wake ni nani mwenye akili ya kuendeleza hiyo mali. Pia huenda kwa anavyo ona akili za wanae na nduguze watakuja kulogana na kuuana sababu ya hilo shamba pindi atapofariki. Kwahiyo ameona bora ajitengenezee kanjia kembamba ka...
  2. etton1999

    Ipi ni tofauti ya mwili, nafsi na roho?

    Kwanza kabisa tunapaswa kutambua kuwa Mungu ni Roho Yoh 4:24 na vinavyoweza (kuwa na mahusiano nae) ni viumbe vilivyo Rohoni (Spiritual realm) ndio maana tuna Roho Malaika na shetani rasilimali na Mungu (Ayu 1:6-8) Turudi sasa kwa Mwanadam, Mwanadam/ mtu nikiumbe kilicho na vitu muhimu muhimu...
  3. etton1999

    SoC01 Uhuru wa fikra kufikia Utawala Bora

    “Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” - Sigmund Freud ”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” - Sigmund Freud Wakati tunaendelea na...
  4. etton1999

    SoC01 Maisha si leo tu, Utawala Bora unaanzia nyumbani

    mwana jamii Forum Karibu kwa mchango wako juu ya mjadala huu.
  5. etton1999

    SoC01 Maisha si leo tu, Utawala Bora unaanzia nyumbani

    “Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” Sigmund Freud ”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” Sigmund Freud Wakati tunaendelea na...
  6. etton1999

    Asili ya maneno 'Shikamoo' na 'Marahaba' ni utumwa, kwanini tunaendelea kuyatumia?

    Kwahiyo Shikamoo kwa siku hizi ina maana gani? kama ina maana ya salamu mbona salamu nyingine za kibantu zina maana nzuri yenye uhalisia wa wakati.
Back
Top Bottom