hello ladies and Gentlemen.
nahitaji bakery mzuri wa kuniuzia mikate na andazi, nipo mikoa ya kusini, hivyo preferable awe maeneo ya mbagala ili kurahisisha usafirishaji.
tuwasiliane inbox.
Wahenga; zimwi likujualo halikuli likakwisha, inategemea na mtu mwenyewe, uzuri wa ndugu akiwa na akili nzuri ni rahisi kumwelekeza kwa mifano halisi ya nyumbani na watu wa karibu, na kumwelekeza kuwa malengo yenu ni kufika mbali awe makin.
Habari wana Jamii forums
Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani
Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
Habarini wana jamvi, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka, napenda kujua ni water pump nchi ngapi inayoweza kupeleka maji mitaa 400 au zaidi kwenye eneo lenye mwinuko wa wastani?.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.