Recent content by estony

  1. estony

    Mbowe atozwa Faini 1 M kwa Kukwepa Kulipa Kodi

    ,[emoji3][emoji3][emoji3]Watanzania tumebaki nyuma sana ktk suala lakuelewa najinsi yakulipokea jambo gaa mbowe amepigwa faini kwakosa lakuto tumia mashine za kielecktronic lakini mbongo anasema halipi kodi na anaona katoa hoja nosence[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. estony

    Gwajima atembelea Clouds media, asema yeye amekuwa mwanafamilia wa Clouds

    Usitumie ujinga wa mtu kukufanya uwe mjinga tumia akili kuukwepa ujinga wa mjinga
  3. estony

    Gwajima atembelea Clouds media, asema yeye amekuwa mwanafamilia wa Clouds

    hii nikweli anachofanya gwajima nikama kulipa kisasi
  4. estony

    Nina ujauzito wa mume wa mtu, nifanyeje?

    ulipo kuwa unatembea na huyo mme wamtu ulimwomba nani ushauri au umekuja kutu kebehi baki na zigo lako maana uliyataka mwenyewe
  5. estony

    Kama CCM na Upinzani wanaungana kutetea Maovu, kuna haja ya kuwa na Vyama vya upinzani.?

    kila jambo unapoliandika ukijuwa kabisa litakutana na fikra pevu litazame kwanza RC wa dr hajakosea kutangaza Vita na watumiaji nawauzaji wamadawa ya kulevya yuko sahihi lakini utaratibu anao tumia nimbovu wakutangaza nakusmulu watu wafike mituo chapolisi ambayo nikinyume na sheria hivyo basi...
  6. estony

    Swali: Ukipewa kazi ya kubuni chombo au kifaa chochote bila kuiga popote utabuni nini?

    mnao mwita makonda mungu acheni kumkufuru mungu hatuna mungu wa aina ya makonda mungu hakurupuki mtazamo wangu
  7. estony

    Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

    Mimi hata simwelewi bora atoke tu
  8. estony

    Ni yupi kati ya hawa MaDJ wa kutafsiri movie anayekuvutia?

    Murphy salute kwake hakunaga yani
  9. estony

    MIKUMI: Mkulima aliyechomwa mkuki na Wafugaji apata nafuu baada ya matibabu

    mmh serikali haya ndio mambo yakutilia mkazo zaidi sio kukimbizana na mambo yasiyo ya msingi
  10. estony

    DODOMA: Mwanafunzi ajinyonga baada ya kuchukizwa na matokeo ya mtihani

    alimzaa akiwa kijana but now is grand pa
  11. estony

    Msaada: Kuhusu hela iliyotumwa M-Pesa kwenda bank na haikufika

    hiyo mchezo washa wahi nifanyia so wakomalie wa mtandao husika hao ndio wanaweza rudisha pesa yako wahuni kweli hawa
  12. estony

    Lusekelo (Mzee wa Upako) ana mapepo na ni Agent wa Shetani. Ataka oa mke mwingine?

    kazi ya mungu ningumu sana nahasa pale unapo taka kufanya kazi ya mungu kwa jeuri yako mungu hakosi kukuumbua naipenda nyimbo moja ya mgogo anasema usipotelee mwisho
  13. estony

    Wadau wa Utalii Arusha waikaanga Wizara ya Mali asili mbele ya Majaliwa

    hawa mtumbo mbele wanamambo ya ajabu sana hizo viza zifuatiliwe tu na maja achukua hata stahiki so kutunza mijitu ilo zoea kufanya kazi ikiwa imejilaza
  14. estony

    Hoja ya kwamba 'Mbowe aendelee na uenyekiti sababu CHADEMA bado changa' ni kuwafubaza wafuasi

    ametoa mtazamo hajasema aondoke naujue sio mtu pekee anaweza kutambua mapungufu yake hadhira ndio wanaona haijalishi niwa upande ipi leo hii watanzania wana sema trump hafai kuwa raisi je? Hawa niwa marekani
Back
Top Bottom