Sawasawa na fadhili zakoMungu wangu.unirehemu
Swali lako mwiba . Watakujibu watasema ooh lile lilikuwa agano la kale. Waulize agano la kale ni biblia au gazeti ?Kuoa mke zaidi ya mmoja SIO UZINZI,
Unataka kuniambia leo kati ya Lusekelo na Ibrahim (baba wa Imani) nani MZINZI?
Nafikirib hatujamwelewa mzee wa upako. Alichokuwa anafundisha na changamoto za ndoa na jinsi wake wanavyopaswa kuwatunza waume zao wakijua kuwa waume wanatafutwa. Pili tungepata mahubiri yote ndio tungetoa hukumu ya mahubiri yake sio kipande cha sekunde kadhaa tu.
Nmejikuta wakati flan nikitafakari sana matendo ya huyu anayejiita Mchungaji na kugundua ana mapepo na ni mtumishi wa shetani kabisa.
Kitendo cha kusema anamtafuta aliyesema wakristo waoe mke mmoja amhoji tayari anaonesha kuukana ukristo na kujihalalishia uzinzi.
Mungu angetaka adam awe na wake wengi angemtengenezea na mwingine.lakini hakufanya hivyo.kusudio la Mungu lilikuwa mke moja na mume mmoja. Kuhoji uhalali wa neno hilo tayari anaonesha ni mtu aliyekengeuka.
Ndugu huyu anayefahamika kwa majivuno na kiburi kinyume na matendo ya ukristo Yesu aliposema Mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu. Yampasa ajinyenyekeze na kujishusha kama mtoto mdogo.
Lusekelo ambaye ni juz juz tu alikumbwa na kashfa ya ulevi jambo ambalo ni aibu hata kwa mchungaj kusingiziwa. Bado hakuweza kujieleza akaelweka machoni pa watu wa Mungu.
Style yake ya mafundisho imejikita zaidi katika yeye kupokea sadaka na tunaona hata kwnye ibada anavyofurahia kutuzwa pesa. Na hapa ndipo ukristo unapozidi kujidhihilisha kuhusiana na siku za mwisho kutakuwepo na manabii na wa uongo na wachungaj wa aina ya lusekelo.
Haya ni mafundisho ya kishetani kabisa. Tamaa za mwili ndizo zinazoweza mkristo akahoji jambo kama hili.
Yesu anasema mwanaume atamwacha babaye na mamaye naye ataambatana na MKEWE na si WAKEZE. Mathayo 19:3-9
Ukina Mkristo anaanza kutaman yaliyo kwa shetan ujue tayar shetan ameshamkamata. Tuendako usishangae kusikia lusekelo anaruhusu waumini wake kuoa wake zaidi ya mmoja.
Lilikua agano gani kwenye biblia hayo mambo yalitendeka? Je unajua tofauti ya agano la kale na agano jipya?Jehova aliruhusu bila pingamizi lolote abraham awe na wake wawili,
jacobo awe na wake wanne,
solomoni wake elfu moja na vimada juu,
hata david nae akaoa wakati keshakua wa kutoa nje kuota jua.
Mimi naona lusekelo yuko sawa
Lilikua agano gani?Kwani Musa alikua na wake wangapi? Je hakua mtakatifu? Mfalme Suleiman anasifika sana naalipendwa na Mungu. Je alikua na wake wangap? Kabla hamja mhukum mumsikilize kwanza!
Ukijua utofauti wa hayo maagano hautaweza uliza swali la kipumbafu kama hiloSwali lako mwiba . Watakujibu watasema ooh lile lilikuwa agano la kale. Waulize agano la kale ni biblia au gazeti ?
utetezi wako ni dhaifu sana,Lilikua agano gani kwenye biblia hayo mambo yalitendeka? Je unajua tofauti ya agano la kale na agano jipya?
Mwendawazimu huyo. Mafundisho hayo yanaonesha nyumbani kwake hapakaliki kati yake na mkewe. Shetani wa uzinzi amelala kicgwani mwake mpk anatamani dini nyingine ili ajihalalishie mke mwingine. Tamaa za mwili zinaongoza kichwa chake. Hakuna mchungaji hapo bali uozo.