DODOMA: Mwanafunzi ajinyonga baada ya kuchukizwa na matokeo ya mtihani

Ndio ni kijana, lakini kinguvu si sawa kwa umri huu katika kukabiliana na changamoto za utafutaji wa mahitaji yake.
Ina maana mtoto akifika 20 baba ana 60.....akhaaa!!!
Mtoto akiwa na 30 baba 70, uwiano 0 hapo.

Mie mwanangu nimemzaa nikiwa na 16, yuko form 3, nina uhakika wa kumlea na kuwaona mpaka vijukuu vyake.
We unadhani huyo atawahi kuviona, tena mtoto mwenyewe alikuwa wa kiume (r.i.p)?
mara nyingi watu tunafikiri ya kuwa kila tulicho nacho ni bidii zetu. na mbaya zaidi tunasahau maumivu tuliyoyapata wakati tulipo wapa mimba watoto wa wenzetu. ila tunajiona washindi na kuwaona waliochelewa kuzaa kama wazembe na wasio na watoto kama hawana maana kabisa hapa tunakosea sana.
inabidi tushukuru na sio kuleta mishangao inayowaumiza watu wengine.
naomba nikili binafsi hili linanihusu sana tu
 
hivi hili suala hatuwezi kulifanyia utafiti kamili tuone ukweli u wapi kama kweli kafa kifo cha Mungu au binadamu?
 
Technically huna kosa. Lakini si unajua huyo unayemtusi alikuwa anatumia kifupi cha jina hilo kwenye kampeni zake za Urais? Lakini kabla hamjafundishwa ujinga huo unaofanyika wote tulikuwa tunamjua JPM ni nani katika nchi hii. Sasa mmelishwa maneno mnapayuka payuka. Sijapenda sana. Hakuna mtu ambaye hajui JPM NI NANI kama wote tunamjua. Basi kwa makusudi sisi tunajua unayemtukana. NA UKAE UKIJUA UNAYEMKASHIFU YUPO JUU YA MADARAKA. BE CAREFULLY BRO.

Mbona umepanic brother sijaandika hayo uyasemayo nilikua nataka kujua huyo uliye mquote amekosea wapi.
Maisha mafupi haya ndugu ukiongeza na stress za kukosa hela si vibaya kutaniana kidogo huwa inapunguza msongo na usichukulie serious kila kimachoandikwa utakufa kwa preshaaaaaa.
 
Pole bro kama nimekukwaza. Fact ni kwamba hakuna kiongozi wa nchi aliyepita hapa tanzania bila ya jina au majina ya utani na sio jina lake kutaniwa kisanii. Nyerere alikuwa na jina lake " Mchonga" kwa maana ya yale meno yake yalikuwa kama yamechongwa vile, Mzee Mwinyi " Mzee wa Ruksa, nk) Mkapa "Mambo" na Mzee Kikwete mnajua mlikuwa mnamwita nani Mkwere sijui nk.

Lakini huyu hata kama tuliumizwa naye bado personal private yake ipo(personally).

Tusiwe kama wanawake waliambiwa " Watii waume zao katika kila jambo" kwa sisi wakristo lakini wanakwambia hatuko kwa ajili ya ukristo tupo kwa ajili ya haki ya binadamu siju nini na nini lakini ndiyo hao bugia sacramenti kama hawana akili nzuri. Tena Sisi tumeambiwa HESHIMU na TII Mamlaka iliyopo kwa maana imewekwa na Mungu.

Mimi ukiniita Mgogo wewe vipi? Ni sawa kabisa mtani mimi ni Mgogo, Lakini ukiniambia wewe mgogo vipi pumbavu sana, mjinga xxxxbixxxzz nk. uwe mbali na mimi ukumbuke ni nyengo mkononi nitakuchinja mbali.

Usihofu utani upo. lakini usizidi mipaka.
 
Basi sawa.
Ila mimi sio njemba bwana hahahaaaaa!!!!!!
 
Huo umri mbona una uwiano tu mzuri.Poleni wazazi.Huyu dogo anapaswa kuwekwa kwenye kumbukumbu ya ushujaa wa kupambana na ukilaza ktk ulimwengu wa elimu kama ni kweli kajinyonga tokana na nafasi aloipata darasani ktk matokeo ya mtihani na si ajabu mbali ya kushika nafasi hiyo alikuwa na marks nzuri il a alinikuta ametumbukia ktk darasa la magenious tupu.
 
Ndio ni kijana, lakini kinguvu si sawa kwa umri huu katika kukabiliana na changamoto za utafutaji wa mahitaji yake.
Ina maana mtoto akifika 20 baba ana 60.....akhaaa!!!
Mtoto akiwa na 30 baba 70, uwiano 0 hapo.

Mie mwanangu nimemzaa nikiwa na 16, yuko form 3, nina uhakika wa kumlea na kuwaona mpaka vijukuu vyake.
We unadhani huyo atawahi kuviona, tena mtoto mwenyewe alikuwa wa kiume (r.i.p)?
Pamoja na kwamba umebadiri topic but umejiuliza huyo ni motto wake wa ngapi? And again, how do you know; kama alifiwa na mkewe wa ujana wake na akaamua kuoa tena? You think mke mpya akija hata taka kuzaa just because umri wa mumewe umeenda!?Think twice brother.
 
NAKUBALIANA NA WEWE ASILIMIA 10000 SIYO BURE KABISA NI USHETANI NA UCHAWI TU
Ila wakati mwingine hofu ya Mungu huwa inatuokoa jamani,maana ukifikiria utakapopokelewa huko na zile adhabu basi unabaki kumwomba Mungu akupe ujasiri uvuke salama jaribu lako
 
Back
Top Bottom