Kweli nimeamini kuna wanawake wanahangaika sana mwisho watakosa vyote,wakati wengine tunaombà Mungu tupate mwanaume anayejielewa kama donlucchese.
Pole ndugu,hapo ni kumuacha aishi maisha yake,bado hajaona umuhimu wako.
Hili tukio pia ni darasa kwako kutokuamini kila mtu,hata rafiki zako.