Recent content by esteraa

  1. E

    Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    Usalama zamani siku hizi wamekuwa kama walimu. Wanajitangaza mitaani kilammoja anajua huyu usalama. Enzi za Mwalimu usalama akifa ndo unajua Kuwa alikuwa usalama wa taifa. Hata mkeo hajui, leo hii mtaa mzima unakujua.
  2. E

    Mungu kaniokoa kwa kuniepusha madhara makubwa, nawasamehe na kuwaombea wanaotuudhi

    Mmh hii umetungwa nani alikuwa mpiga picha wenu seems mlikuwq watatu tukio liliandaliwa
  3. E

    Kauli Mbiu ya MMU 2014 ni nini?

    Hiii nimeipenda
  4. E

    Vyumba vimejaa........

    Acha ujinga wewe inahusiana nini chrismass na kujaa kwa vyumba una takwimu za kila cku
  5. E

    Kukaa jinsia mbili tofauti kwenye seat ya bus

    mmmh mimi huwa nasafiri sana ko nna experience ya kutosha Nikikaa na mkaka kwakweli huwa nasikia raha sana afu mi mchokozi hayawezi kuisha masaa mawili bado hatujaongea jamani hata salam? ha ha huwa ikifika muda wa kula watu wanashuka anakuuliza vp dada hushuki? nawaambiaga mmh sijisikii vizuri...
  6. E

    Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

    Kwi kwi kwi wewe kiboko kweli cjawahi sikia yai la kike na yai la kiume mirembe kamata mtu yenu hiyo imetorokea huku JF
  7. E

    cooker control ratings

    hey people anybody who knows the power rating of various cooker control units used in our homes! help please!
  8. E

    Nafasi za kazi tra.

    ha hah a jamani ni sote ndiko tulikotoka kabla hujaja mtaani unachagua kazi lkn mtaa unakufundisha nini cha kufanya! nampongeza kijana at least ana ndoto ila tu tumweleze anatakiwa kucheza kulingana na mdundo wa ngoma
  9. E

    Tiles & Bati Bei ya Jumla

    jamani nahitaji ila sielewi how to pm help please am a new member in this forum
Back
Top Bottom