Recent content by esitena tetena

  1. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Hahahaaa! ati mamia kwa maelfu? hiyo ni mamoja kwa makumi[emoji81][emoji81][emoji81]
  2. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kina Mbowe: Kibatala amuweka kwenye kona Mkuu wa Upelelezi

    ati hafuatilii vyombo vya habari. hata hotuba za magu na TBC?
  3. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Akram Aziz akiri makosa yanayomkabili, alipa faini na kesi kuisha!

    hapana.serikali ilipigia magoti pesa.
  4. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Mrema: Wanasiasa waliokutana Zanzibar ni Wanaharakati

    Mwenyekiti asiye na kiti.
  5. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Bila Magufuli kushika utawala awamu hii ya 5 je nchi ingekuwaje kufikia mwisho wa mwaka huu na kipindi kama hiki?

    unaposema "sasa hivi wote tuko sawa" sijakuelewa. Matajiri bado ni matajiri na masikini bado ni masikini.
  6. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Waziri Mkuu yaliyokataliwa na Rais yalikuwa tayari kununua korosho kwa sh. 3,800/ kwa kilo

    Mkuu soma vizuri ripoti. hao wanunuzi walioorodheshwa ni wale ambao walitaja hizo bei zao wakati serikali ilipotoa deadline. kwa nini serikali ili- react masaa machache tu kabla ya muda?
  7. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Waziri Mkuu yaliyokataliwa na Rais yalikuwa tayari kununua korosho kwa sh. 3,800/ kwa kilo

    ili kujua kama in kutingisha kiberiti au la serikali ingesubiri ile deadline ili kupata hali halisi na sio kutabiri
  8. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini yatenguliwa

    naona majina mengi ya kanda fulani hapo. ni mtazamo tu.
  9. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    nilidhani ni wimbo wa taifa kumbe ni wimbo wa serikali!!
  10. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania World Bank: We are very upset about what's happening in Tanzania...

    unajifariji kwa hilo?
  11. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Waziri Hasunga: Tumefungua mipaka kuuza mahindi nje ya nchi

    too late. Kenya wanalalamika mahindi yao ni mengi na bei zimeporomoka hivyo hawahitaji importation. na malawi nako hivyo hivyo. na hizo vurugu za Congo nani ata-risk kupeleka huko? kwa nini baada ya koroshonaizeshen isifanyike mahindinaizeshen? "NA PESA IPO.'
  12. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

    ule utafiti was TWAWEZA ulibainisha aina ya watu, kiwango cha elimu, uchumi wa watu na maeneo ambayo CCM inapendwa. kwa hii thread nimeamini utafiti ule.
  13. esitena tetena

    JamiiForums Tanzania Clouds Media Group watangaza kusitisha tamasha la Fiesta Dar

    kwani pale tanga Ruge na Makonda walivyopeana mikono ya "kusameheana" mbele ya mkuu wa nchi ulikuwa ni kiinimacho?
  14. esitena tetena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rasmi: Manji 'OUT' Yanga, Watano Wajitosa Kumrithi

    Katika mabadiliko ya Simba Mo atamiliki hisa 49% na wanachama 51%.
Back
Top Bottom