Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini yatenguliwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Prof. Ninatubu Mbora Lema kuanzia Desemba 05, 2018

Lakini pia Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ametengua uteuzi wa Wajumbe kadhaa wa Bodi kuanzia Desemba 09, 2018 ili kuunda Bodi mpya

Wajumbe waliotengulia katika nafasi zao ni Mhandisi Leonard Kapongo, Wakili Mussa Mbura na Mhandisi Rogatus H. Mativila

Aidha, Wajumbe Dkt. Fredrick Mwakibinga na Jane O. Lyimo muda wao wa uteuzi uliisha kabla ya kutenguliwa kwa Bodi hiyo
IMG_20181212_171602.jpeg
 
Bodi ya ushauri!!! kama walishauri na ushauri wao haukutekelezwa ukiivunja inasaidia nini? Au kutumbuliwa kwao kunahusika na kutokutoa ushauri wa namna ya kuangamiza kundi la ndege waliogongana na ndege ya precision air pale Mwanza?
 
Bodi zinapata Tabu Sana

Bodi ya Korosho, Bodi ya Pamba, Bodi ya Sukari zote 'MIJUU GUU'

Bodi ya Wahasibu chupu chupu

Nmeota Na Bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa ya Taifa .......
Je,umeshawahi kuisikia bodi ya maziwa?
 
Back
Top Bottom